
mama techla mjata, mmoja wa wasanii mahiri bongo, akila pozi. yeye ni mmoja wa wasanii ambao wanatarajiwa kuwamo kwenye filamu ya bongoland II ambayo itashutiwa dar mwezi ujao. kwa habari zake na nyingi nyingine juu ya filamu hiyo bofya hapa
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
katika wamama waigizaji ambao nimewapenda ni huyu mama jamani, mama anabusara hekima lazima atakuwa mama wakisambaa huyu. hongera sana mama!
ReplyDeletemichuzi huyu mama namuadmire sana yeye na mama bishanga na group zima la enzi zile hakuna mfano wao aiseee wafikishie ujumbe kama wanaweza rudiana tena hivi tekla mgaya yuko wapi?? ukipata picha ya waridi bishanga ritchie seki mama bishanga naomba unitolee wale watu walinimaliza kwenye lile igizo la mama bishanga seki na teckla walipotaka kuuza nyumba ya bishanga halafu na keti pia alikuwa mdogo wa waridi aiseee ale watu walikuwa wanaigizaa sanaa
ReplyDeleteBasi Bongoland II itakuwa filamu safi sana. Mama Thecla ni mchezaji mzuri sana. Nakumbuka tulikuwa tunangojea michezo ya kuigiza kwenye Radio Tanzania. Wakati huo hakuna TV. Basi hiyo ndo burudani kubwa kweli kweli! Amefuzu kisanaa.
ReplyDelete