kuna wadau wameomba sekondari ya mzumbe. naomba kuwasilisha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 16, 2007

    Sisi wa Ilboru Secondary, tulikuwa tayari kuwa wa mwisho kwenye matokeo ya f4 au f6 lakini wa mwisho kabisa kabisa awe Mzumbe secondary. Na kwa kweli mchuano ulikuwa mkali na mpaka sasa hawa madogo wa Mzumbe hawatuwezi kabisa. Ilboru Juu, Mzumbe chini chini kabisa.

    Nyangusi Ndukai

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 16, 2007

    THE SILENT STALKER says.....Damn!!! kumbe mbaya hivi.....msianze kuchonga sana, hata mimi nilikua selected kujiunga hapo A'level ila nikachomoa nikabaki BONGO. Kweli kama hapa ndio they say its kitivo cha maGenius wakibongo GOVT shud beta than this

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 16, 2007

    Mabweni ya Shaaban Robert haya njia ya kwenda IDM. Mkwawa 2 daima 1998-2000

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 16, 2007

    Duh kumbe chama la Mzumbe limechoka namna hii ? Ndio maana jamaa walikuwa wakija town wana mambo ya kishamba shamba!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 16, 2007

    Haya akina Jerome Rugumyamghetho, Brian,James,Jarome,George Mgomella, mwaiona skuli yenu, wenyewe mlikuwa wajanja 1996.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 16, 2007

    du ebwana eeeh,si kitoto,nakumbushawa mbali kinoma yan!du hili skuli limetulea kinoma ndugu zangu! ijapokuwa limekaa kiana tu si unajua ili mradi buku linatembea kwenye njia yake watu tunalizika tu, big up mzumbe,for sure mzumbe is fantastic

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 16, 2007

    Nimesoma Mzumbe, nimekaa Mkwawa #5---nikaenda Ilboru (class of 93) nilikaa Tololwa (Biafra). huyo anaesema Mumbe ni mbaya, anafananisha na wapi? mbaya kimasomo, kimajengo au----angekuwa amesoma sehemu kama Mzumbe kauli finyu isiojitosheleza kama hiyo asinge toa.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 16, 2007

    Jamani mnamkumbuka mzee TDK Msuka, N'darlu,Kidua,Bitwale,Minja,Mganda(sasa hivi ni top govt officila hiko Rwanda)Msabila,Minja,bila ya kumsahau marehemu Mkombothi(Wibo), na wengine wengi.
    Remember Mzumbe guys:
    "DETERMINATION IS OUR MOTTO"

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 17, 2007

    Acheni kutuyeyusha nyie Mzumbe walikuwa wachovu tu kazi ilikuwa ni kupewa Maswali ya practicals za physics, chemistry na Biology ili kulinda heshima, Mzumbe wangekuwa wazuri wangekuwa wanaongoza hata Advanced mathematics ambayo Ilboru walikuwa wanaongoza miaka yote au mnaniambiaje vijana wa Kiringo na Akyoo. Hawa vijana wa mzumbe wasiwababaishe hao walikuwa ni watoto wa kubebwa, Wakati nyie mabaniwa na Shembilu na Msungu wenzsenu Mzumbe walikuwa wanapeteshwa tu, Mkitaka kuhakikisha angalia siku hizi Mzumbe wanavyochemsha

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 18, 2007

    Wewe mimi nimekaa mirambo namba 2, 1995-1997. Hiyo shule unaiona imechoka lakini madenti wa hapa tulikuwa tunaishi kama tupo peponi. Hapo unoko ni ziro, roll call ya jioni mara moja kwa wiki, jumapili tuu. Siku ya usafi wa mazingira mara moja kwa wiki, na hakuna ma-unoko mengine ya kifalafala hapo. Hapo ni buku tuu, pigia mstari usawa wa meno.
    Hivi kwa mrina bado kupo? Na wewe uliyewataja hao kina J-rugu mbona hujawataja vichaa wengine? Mkombachepa, sangusangu, alipembe, omari kinyonyoke, mwisongo, antena, kayandabila wekabia, na wengineo?

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 18, 2007

    mimi nashangaa ni lini Ilboru wameipita mzumbe ktk advanced results?wewe anony wa 1 acha kuongea uwongo ulowazi,mzumbe ni vichwa na hilo litabki hivyo

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 18, 2007

    Baada ya kutambiana A'Level kwa kupewa "mitutu" ya practical ili msiharibu jina na reputation ya shule zenu za Ilboru na Mzumbe Sasa hamieni UDSM ni wapi kati ya mzumbe na Ilboru waliongoza kwa kupata "First Class" University of Dar es Salaam???, Hakuna jibu hapo eee, Kule hakuna "mitutu" na u geneous wenu wengi pale ndio mwisho wa Reli na point tatu na nne zenu.

    Mzumbe na Ilboru kweli kulikuwa na 0.01% ya mageneous lakini the rest ni "VILAZA" tu mkifika pale UDSM.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 19, 2007

    Kwa mtazamo wangu, ilboru wanaweza kushindana na kuwagalagaza mzumbe kwa upande wa O'level. Ukija kwenye A'level, mzumbe ni ya kwanza na hakuna wa pili. Ilboru na wengine wanafuata nyuma kabisa huko.

    Na wewe uliyezungumzia kuwa walboru na wazumbe kuwa hawaonyeshi uzuri wa vichwa vyao UDSM, kama umesoma UDSM, kuelewa mambo siyo silaha nzuri ya kufaulu vizuri ingawa pia inasaidia. UDSM kuna "unique techniques" za kumfaulisha mtu.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 19, 2007

    lazima annon hapo juu hukusoma UDSM. vitu ulivyoandika havina ukweli kabisa. kwa mfano kitivo kimojo tu cha sayansi mwaka 2003. kulikuwa na first class sita na tano kati ya hizo zimetoka mzumbe na ilboru tu. sasa hivi ni kweli shule hizo hazifanyi vizuri kwa sababu zimeshafutwa special school. sasa hivi wanakwenda watu wenye vichwa vibovu kama wewe. lazima asome tution kumi na apewe pepa ili uweze kupata division three.

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 19, 2007

    Kama UDSM kuna "unique techiniques"
    na nyinyi wa Ilboru na Mzumbe si mpo "unique" sasa inakuwaje hapo

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 20, 2007

    Mwanangu hapo tumekumbushana mbali sana. Tulikuwepo hapo first Batch ya special school enzi hizo za mkuu Msuka. S/Robert 5 yalikuwa makazi. SHULE YETU MZUMBE SEKONDARI, YASIFIKA POTE....................... WAZUMBE MALIZIENI BASI.

    ReplyDelete
  17. Kwa kweli Mzumbe kimandhali imechoka kinoma.sasa achilia mbali ile era ya 1995-7 ambapo chakula tena ikawa mgogoro...ngama (ugali)wa shangazi mbaya..tepu(maji ya bomba), malaria na Typhoid..nakumbuka kuna muda ilibidi tuwahi kufunga na tuchelewe kufungua.Lakini kitu kizuri ilikuwa manual work zilikuwa sio sana and after 2pm school is over so you have lots of time za kugwaduka kama Ligwa.Siku ya vilei (kilakala wakija disco) hadi sangusangu alikuwa ananyoa, wali unapikwa, parfume za yolanda na yu zinajitokeza. Ki shule sio kwamba tulikuwa na walimu wa kutisha saana lakini competition ilikwa juu in between students.Nawakumbuka all time teachers kama Wibo (RIP) he was dedicate teacher, Kabale (style yake ya kufundisha was unique) nzuri saana kwa kujiandaa na mikiki mikiki ya UD. Namkubuka Ibra jengo kwa uongozi wake wa mirambo...shule ilitujenga kwa kweli.Lakini mazingira mabaya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...