Home
Unlabelled
nani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu ni Chifu Adam Sapi Mkwawa
ReplyDeletehuyo ni marehemu Spika Chief Adam Sapi Mkwawa enzi zake
ReplyDeletemzee adam sapi mkwawa,spika wa kwanza.
ReplyDeleteChifu Adamu Sapi Mkwawa?
ReplyDeleteAdam Sapi Mkwawa-Spika wa Bunge
ReplyDeleteRIP spika wetu mstaafu.
ReplyDeletenini maana ya spika wa kwanza. huyu hakuwa spika wa kwanza. spika wa kwanza aliitwa Yusuph Karimjee. tazameni historia.
ReplyDeleteChief ADAM SAPI MYIGUMBA MKWAAVA WA WAHEHE
ReplyDeleteAnoy hapo juu wengi ni wasomi wa medium english schools tu. Waonee huruma tu hawajui historia kabisa. Bongo sasa hivi ilimradi unaenda shule na unaongea kingereza basi wewe unasoma kweli.
ReplyDeleteShule zetu za ngumbaro wengi tulikua Maimuna lakini tulisoma kweli.
Babu yake Devota, Lulu na Alban????
ReplyDeleteKaka michuzi, huyo mzee kuwa Spika kosa, hata wale ndugu wa kutafuta na ramani wanajidai na hiyo jina. Angekuwa kamzaa baba yao sijui ingekuwaje....hheheheeeeeeeee