wadau mwamkumbuka mh. huyu?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 01, 2007

    Huyu ni Chifu Adam Sapi Mkwawa

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 01, 2007

    huyo ni marehemu Spika Chief Adam Sapi Mkwawa enzi zake

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 01, 2007

    mzee adam sapi mkwawa,spika wa kwanza.

    ReplyDelete
  4. Chifu Adamu Sapi Mkwawa?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 01, 2007

    Adam Sapi Mkwawa-Spika wa Bunge

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 01, 2007

    RIP spika wetu mstaafu.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 01, 2007

    nini maana ya spika wa kwanza. huyu hakuwa spika wa kwanza. spika wa kwanza aliitwa Yusuph Karimjee. tazameni historia.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 01, 2007

    Chief ADAM SAPI MYIGUMBA MKWAAVA WA WAHEHE

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 01, 2007

    Anoy hapo juu wengi ni wasomi wa medium english schools tu. Waonee huruma tu hawajui historia kabisa. Bongo sasa hivi ilimradi unaenda shule na unaongea kingereza basi wewe unasoma kweli.
    Shule zetu za ngumbaro wengi tulikua Maimuna lakini tulisoma kweli.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 01, 2007

    Babu yake Devota, Lulu na Alban????


    Kaka michuzi, huyo mzee kuwa Spika kosa, hata wale ndugu wa kutafuta na ramani wanajidai na hiyo jina. Angekuwa kamzaa baba yao sijui ingekuwaje....hheheheeeeeeeee

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...