Home
Unlabelled
ndafuzzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ndafu inatumika kwa wanyama tu... na dafu inatumika kwa mimea.. samaki wanatumia... ooh ngoja nikumbuke......nafu!!. he he
ReplyDeletewatu wa animal rights wako wapi? huu ni udhalilishaji wa wanyama.
ReplyDeleteBaada ya jamaa huko Sudan kuozeshwa mbuzi, hata hamu ya hiyo ndafu mimi sasa sina... Halafu nasikia huyo mbuzi mauti ilimpata baada ya kula mifuko kadhaa ya rambo!! Sitanii ndugu soma hapa: Mbuzi Mke Kafa!! soma pia hapa: Mbuzi Kaolewa!! SteveD.
ReplyDeleteHivi kwenye kamusi ya kihehe hakuna neno ndafu kweli, hebu wasiliana na mjengwa.
ReplyDeleteIla ninavyojua neno ndafu linatokana na kabila moja hivi kama si wahehe sijui.
Ndafu neno la kichagga hilo
ReplyDeleteAcha ushamba wako wa kutuletea mambo ya animal rights hapa we umeambiwa utoe maoni yako ya neno ndafu na siyo kujifanya umestaarabika sana na kukosoa utamaduni wako, we ulitaka uwekewe Keki ya kizungu ndiyo ungeridhika.
ReplyDeleteWATU WENGINE WANAKERA...!!!
Kweli kabisa Anon wa 1:03 EAT, Haina maana ya kuanza kukosoana badala ya kueleza maana ya ndafu yaani nakuunga mkono kabisa WATU WENGINE BWANA!!.
ReplyDeleteNdafu ni neno la kihehe
NDAFU ni neno ambalo limetoka huko uchagani,kuna wakati hapo zamani kidogo ali alikwa mzungu kwenye harusi moja ya kichaga,na walikuwa wameandaa mbuzi kama ndafu.lakini walikua hawana jina la hiyo kitu.sasa mzungu akaonja nyama ya ile mbuzi na katika ku appreciate hiyo nyama ilivyopikwa kwa ufundi mzungu akasema
ReplyDelete"WONDERFUL" sasa ndugu zangu wachaga walivyosikia hivyo wakabakia na ndafu..ndafu..ndafu.....ndio hilo jina likapatikana.
hapo kitambo, wazungu walistaajabu kule uchaggani kuona mbuzi akifanywa namna hii.
ReplyDeletekutokana na mshangao huo, wakasema "this is very wonderful."
kutokana na kuendelea kulirudia rudia neno "wonderful"
wachagaa nao wakaondokea kulipenda liinglishi hilo. nao wakatamani kutamka kwa kiinglishi. wakaishia kusema "ndafu" wakiamini ndilo jina la mnyama huyo akiwa hivyo kwa lugha ya kikristo.
nimemaliza mkuu!
Michuzi
ReplyDeleteAsili ya neno "ndafu" ni Kilimanjaro kwa wachagga. Na ukitaka kuingia ndani zaidi ni kutoka mitaa ya old moshi.
Stori yenyewe inakwenda hivi, wakati wamisionari walikwenda kumjulia hali Mangi wa Old Moshi ambaye alikuwa mhasimu na mangi Sina, Mangi wa Old Moshi aliwaandalia karama nono hawa wamisionari ili wamsaidie kumwangamiza Sina, na wakati walipofika walikuta mlo mzuri wa mbuzi wa kuchoma. Baada ya kula walisema "It is wonderful" basi wakibosho kwa kushindwa kushika maneno yote wakaishia kusema "ndafu"
Hii stori ni sawa na ile ya "Kibo show" ambayo imekuwa Kibosho.
anon wa June 11, 2007 8:01:00 AM EAT, hebu tupe hiyo stori ya "Kibo Show" mie siijui
ReplyDeleteneno ndafu limetokana na wandaful....
ReplyDeletespiking of wachagga watuni watu hawa wanaamini, maisha ni matamu kama nyama ya mbuzi, na maisha ni magumu kama mfupa wa mbuzi, ila wachaga hawa hawa wanahaha na maisha na kutafuta pesa kwa njia yoyote kwakuwa wamesahau kuwa maisha ni mafupi kama mkia wa mbuzi. tehe tehe
mimi ni msambaa
Nina shangaa ambavyo watu wote mmemiss the name!! Mimi mHehe na neno hilo ndafu ni la kichaga likimaanisha "yule mbuzi aliyehasiwa" yaani "nortured" kwa kizungu. Nimesahau kwa kiHehe anaitwa nini - matokeo ya kukulia mjini. Sasa huyu ndafu hawezi "panda" au "kufanya matusi" kwa hiyo hazain na jinsi hii anamarinate tuu tayari kwa mlo!!Na kwa waHehe zile nanihii ("marupu" au "balls" kwa kizungu, "p***u" kwa kiswahili)pamoja na mapafu na moyo ni haki ya wale waliochinja na kumtayarisha mbuzi yule - ifiryo ya vavina!!!!
ReplyDeleteKwa wale wataalamu wa kiChaga mbuzi dume tu aliyehasiwa ndiye anaitwa ndafu au ana hadhi ya kuwa ndafu - jike daima haliitwi ndafu! Hakuna cha wonderful wala nini - ndafu walikuwepo tangu kabla ya kufika wamisionari na wazungu!!!
Anony 5.01 asante kwa maelezo yako lakini ni "neuter" or "spray"
ReplyDeleteNa huyo msambaa teh teh teh ndio maana hamuendelei teh teh teh kwa kutupiana voodoo kila siku teh teh teh na kuogopa kufanya lolote la maana kila siku ohhh life is too short teh teh teh You are the only person on earth who can use your ability. You were born to win, but to be a winner, you must plan to win, prepare to win, and expect to win. teh teh teh I think life is too short to blend in. teh teh teh
nyie watu hebu acheni ujinga, yaani nyie mngekuwa mnachunwa na kuanikwa hivyo mngefurahi? Lazima tutetee animal rights pia. Ni udhalilishaji tu hakuna cha Ndafu wala ndufa. Ndio maana siku hizi huoni hizo ndafu kwenye harusi. Zamani pia ndafu hakuna harusi, ila kwa kuwa watu wameanza kuelewa animal rights ndio maana unaona keki tu siku hizi kwenye maharusi. Acheni kutesa wanyama.
ReplyDeleteNaona tunarudia ndafu za MBUZI. Bora maana keki zinaozesha meno.
ReplyDeleteAnonymous unatoka wapi wewe, sio mtanzania au umeloea hata hujawahi kurudi nyumbani. Animal right hukohuko huku watu wanakufa kama kuku tuanze kuangalia animal rights. Tupe human rights kwanza. Au hujaonja ndafu bei mbaya huko? rudi basi.
ReplyDeleteWee msambaa gani koko nini au mnyika teh teh ndio nini. Sema ufundishwe hambuze.
ReplyDeletekwanza wachanga sio wtani wa wasambaa...kama unatupenda utwambie lakini siye wala hatuwataniiiiii tuache
ReplyDeleteDONT GET ME WRONG. HIVI HUYU MBUZI (NDAFU) AMECHINJWA KIHALALI KWELI AU AMENYONGWAAAAAA.
ReplyDeleteHATA AWE AMENONA VIPI KAMA HAJACHINJWA NA KUTENGANISHA KATI YA KICHWA NA KIWILIWILI, SITII MKONO WANGU HAPO HATA KAMA NINGEKUWA MI NDIYE BWANA HARUSIII.
SIYO SABABU YA UDINI AU NINI. LAKINI HATA MILA ZA MABABU ZETU, WALIKUWA WAKICHINJA. NINI BABU ZETU, ENZI ZA MAWE, JAMAA WALICHINJA KWA KUTUMIA VISU VYAO MAALUM VILIVYOTENGEZWA KWA MITI AU MAWE.
MWENYE HOJAAA....... SILI KIBUDU
nyie hebu acheni kudhalilisha wanyama. Inatakiwa muwe vegitarians manake nyama sio nzuri kwa maumbile ya binadamu. Animal rights lazima ziangaliwe, watetezi wa wanyama tupo. Hata sisi walala hoi hutufanyi mambo hivi, tunakula mchicha ama sukuma wiki mambo yanapita. Sasa nyie kuanika mnyama namna hii ndio nini?
ReplyDeleteSir ISSA NAONA..KURA NA WASEE..MBUSI HIYO BWANA...PICHA SAFI SANA HII MIMI NAPENDA SANA MBUZI..SASA HUYU WALICHINJA SHINGO AU..MAMBO YAENDA YAKIONGEZEKA..???
ReplyDeleteNyie mnaosema animal rights mnaishi nchi gani? Labda hamtembei au hamsocialize na watu wengine but TZ only.
ReplyDeleteKila siku harusi za wataliano kuna nguruwe mzima kawekwa mezani. Na ni hapa USA na hamna anayelia animal rights. Halafu huyuo ni nguruwe...hebu angalia yale mafuta na all that...
Wewe huli nyama ...??? !!!! Kumbuka hata majani yana uhai...
Kama wewe umeanza kuwa fashion vegan waachie wenzako wale wanachopenda ...??? Anything in moderation will not kill you..
Ndafu imetokea uchagani wakuu, tuache ligi.
ReplyDeleteAnimal right hukohuko ambako mifugo ni paka na mbwa huku kwetu sisi rights zao ziko mzani tu.Hiyo ni art ya kichaga
ReplyDelete