saut decent girl 2007 celina luhizo akiwa na marafiki zake baada ya kunyakua tuzo hiyo wikiendi ilopita huko nyegezi, mwanza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 04, 2007

    Sasa huyu wa kushoto si rafiki wa kiume...maana picha ya juu umesema kutokuwa na rafiki wa kiume ni kigezo.Hao umesema ni marafiki zake,na huyo ni wa kiume au wa kike jamani?Ungesema mpenzi bwana,kuwa na rafiki ni jambo jema...haijalishi jinsi (sex) yake.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 05, 2007

    hahahahahah huyu mwache tu awe decent gal bila ya kuwa na mwanaume maana sura yenyewe inatisha, jamaa atakayempata lazima atakuwa Mnyalu mwenzie.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 05, 2007

    Research of journal of sleeping found that more and more people are having sex while are sleeping alone. ehe!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 05, 2007

    Jamani huyu si mama mzima kabisa...Sasa ataolewa kweli kama hana rafiki wa kiume? Atampataje mchumba? Au ndio yale ya match maker au mail order bride?

    Tanzania hamna mambo mengine ya kufanya ukiwa na rafiki wa kiume zaidi ya sex ndio maana wabnnakatazza sana tu...zipo benefit nyingi tu za kuwa na different gender as a friend.

    Inabidi tupanue ubongo na hata hao wanaotoa zawadi na watoto inabidi wafundishwe pia kuwa na rafiki wa kiume sio jambo baya. Baya ni kama wana have sex kabla ya kuoana.

    Na pia ukiwaambia watoto no no boys no no boys are this boys are that basi wanakua na idea hiyo tu. Na pia wanakua hawajui kusocialize na kuelewa boys' language. Ndio maana wasichana wa kibongo mwanaume akimwambia "umependeza" basi wanafikiri anamtaka.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 05, 2007

    Mi sisemi kitu. wacha ninyamaze tu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 05, 2007

    lakini hata walioolewa bikra walikuja kubadilika baada ya kuwa kwenye ndoa au kaolewa na bikra yake mwanaume wiki ya kwanza tuu baada ya hapo kiruka njiaa bora muwe wote mshaonja utamu wa tunda ili hata mkiingia ndani ya ndoa atakayeanza amalizwe,watu wanajidai tuu wanataka bikra wala si kweli ukweli ni kwamba wanataka anayejua mambo ati muda wa kufundisha from the scratch wapi na wapi reviews ndizo zinazotakiwa bwana vijana msininukuu ni mawazo yagu tuuu mjadala uendelee.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 05, 2007

    HUYU NI MSHINDI HALALI KABISA. KWA KWELI SISHANGAI KAMA HANA URAFIKI WA KINGONO. SURA YAKE INARANDANA NA USHINDI WAKE

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 05, 2007

    poor lady!!

    inasikitisha sana kuona watu waliombwa na Mungu wakikosoa kazi ya Mungu.

    huyu msichana ana ubaya gani jamani mbona nyie watu hamna utu! au kwa sababu ni coments basi mnajiandikia kuonekana kama mpo. nyie ma anon said nawauliza? mmemuhonga mungu sh ngapi muwe wazuri kama mnavyojititia tia hapa. huyu dada yuko natural na si mbaya wa sura kiasi hicho. hivi huyu dada akisoma hizi com. atajisikiaje? soooo bad kwakweli.

    afu michuzi hizi ndo com za kutupilia mbali zinasononesha sana kama huyu dada ni mdau siamini kama atarudi tena kwenye blog yako baada ya kuzisoma. nimesikitika sana!! ila Mungu awasamehe

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 05, 2007

    kwa kweli dunia imebadilik jamani we celina kumbuka kipindi kile cha 2003 pale dar es salaam school of journalism[DSJ]aha ninyamaze tuuuuuuuu..........????????

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 07, 2007

    UZURI WA KITU/MTU UPO MACHONI KWAKO. HAKUNA KITU MTU MBAYA. MNAOKOSOA SANA, MNA MAPUNGUFU NA HUENDA MNAMUONEA WIVU HUYU DADA.

    POLENI

    HUYU DADA NI MZURI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...