Home
Unlabelled
pozi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sasa huyu wa kushoto si rafiki wa kiume...maana picha ya juu umesema kutokuwa na rafiki wa kiume ni kigezo.Hao umesema ni marafiki zake,na huyo ni wa kiume au wa kike jamani?Ungesema mpenzi bwana,kuwa na rafiki ni jambo jema...haijalishi jinsi (sex) yake.
ReplyDeletehahahahahah huyu mwache tu awe decent gal bila ya kuwa na mwanaume maana sura yenyewe inatisha, jamaa atakayempata lazima atakuwa Mnyalu mwenzie.
ReplyDeleteResearch of journal of sleeping found that more and more people are having sex while are sleeping alone. ehe!!!
ReplyDeleteJamani huyu si mama mzima kabisa...Sasa ataolewa kweli kama hana rafiki wa kiume? Atampataje mchumba? Au ndio yale ya match maker au mail order bride?
ReplyDeleteTanzania hamna mambo mengine ya kufanya ukiwa na rafiki wa kiume zaidi ya sex ndio maana wabnnakatazza sana tu...zipo benefit nyingi tu za kuwa na different gender as a friend.
Inabidi tupanue ubongo na hata hao wanaotoa zawadi na watoto inabidi wafundishwe pia kuwa na rafiki wa kiume sio jambo baya. Baya ni kama wana have sex kabla ya kuoana.
Na pia ukiwaambia watoto no no boys no no boys are this boys are that basi wanakua na idea hiyo tu. Na pia wanakua hawajui kusocialize na kuelewa boys' language. Ndio maana wasichana wa kibongo mwanaume akimwambia "umependeza" basi wanafikiri anamtaka.
Mi sisemi kitu. wacha ninyamaze tu.
ReplyDeletelakini hata walioolewa bikra walikuja kubadilika baada ya kuwa kwenye ndoa au kaolewa na bikra yake mwanaume wiki ya kwanza tuu baada ya hapo kiruka njiaa bora muwe wote mshaonja utamu wa tunda ili hata mkiingia ndani ya ndoa atakayeanza amalizwe,watu wanajidai tuu wanataka bikra wala si kweli ukweli ni kwamba wanataka anayejua mambo ati muda wa kufundisha from the scratch wapi na wapi reviews ndizo zinazotakiwa bwana vijana msininukuu ni mawazo yagu tuuu mjadala uendelee.
ReplyDeleteHUYU NI MSHINDI HALALI KABISA. KWA KWELI SISHANGAI KAMA HANA URAFIKI WA KINGONO. SURA YAKE INARANDANA NA USHINDI WAKE
ReplyDeletepoor lady!!
ReplyDeleteinasikitisha sana kuona watu waliombwa na Mungu wakikosoa kazi ya Mungu.
huyu msichana ana ubaya gani jamani mbona nyie watu hamna utu! au kwa sababu ni coments basi mnajiandikia kuonekana kama mpo. nyie ma anon said nawauliza? mmemuhonga mungu sh ngapi muwe wazuri kama mnavyojititia tia hapa. huyu dada yuko natural na si mbaya wa sura kiasi hicho. hivi huyu dada akisoma hizi com. atajisikiaje? soooo bad kwakweli.
afu michuzi hizi ndo com za kutupilia mbali zinasononesha sana kama huyu dada ni mdau siamini kama atarudi tena kwenye blog yako baada ya kuzisoma. nimesikitika sana!! ila Mungu awasamehe
kwa kweli dunia imebadilik jamani we celina kumbuka kipindi kile cha 2003 pale dar es salaam school of journalism[DSJ]aha ninyamaze tuuuuuuuu..........????????
ReplyDeleteUZURI WA KITU/MTU UPO MACHONI KWAKO. HAKUNA KITU MTU MBAYA. MNAOKOSOA SANA, MNA MAPUNGUFU NA HUENDA MNAMUONEA WIVU HUYU DADA.
ReplyDeletePOLENI
HUYU DADA NI MZURI