Home
Unlabelled
pozi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Yaani wewe kaka ungetabasamu tu kidogo, nawewe ungefaa kwenda Mr. universe! Watu mmejaaliwa sura, halafu mnazubaa. Mimi hata siwaelewi!
ReplyDeletemichuzi ulikuwa unalilia nini? halafu unapenda maujiko wewee
ReplyDeletekidogo tu picha isitoke jinsi sura lako lilivo baya lol
Bwana Michuzi naye kwa tabasamu tu.. bwana hatukuwezi, au unajiandaa kwa ajili ya mr universe 2007?!. tuambie mshirika! SteveD.
ReplyDeletekaka michuzi huo mkono wa kushoto ungekua unaishi urabuni umeshakatwa zaaaamaani.
ReplyDeleteMichuzi na wewe hupitwii!?! Vandumweh!!
ReplyDeleteKila bibi unataka kupiga nae picha wewe tu!?!
Au ndo unajiongezea CV hivyo? Mweeh!
Issa VIPI MZEE UNAWEZA UKAUZA HII PICHA (SIJUI LEO MKUNO UMESHIKALIA WAPI MAALIM)..NAONA HUJAFUNGUA KINYWA MZEE..UKIFUNGUA "..DENDA HILI.."..ROHO INAUMA UWEZO SINA...
ReplyDeleteWalau leo Misupu mkono umekaa mbali na nyonga ya mtoto wa mwenzio!
ReplyDeleteIssa mkono huo
ReplyDeleteKaka Michuzi,
ReplyDeleteKwa nini wewe ukipiga picha na wadada au vifaa kama unavyowaita wewe mkono wako mmoja daima hukaa nyuma? Hivi huwa unashika sehemu gani? Unapenda nanihii nini!
Mrembo wetu kwa kweli unapendeza!
ReplyDeleteMimi natamani kama wadada wa KiTz wangekuwa wanadumisha unachoro kama wewe. Tungekuwa na wadada wazuri sana japo hawawezi kukuzidi wewe. Eti wadau, mnaonaje dada zetu wanavyojichanganya na nywele na urembo wa kigeni au atifisho? Mnasemaje kwa hili? Mi namaindi sijui nyie.
hehhh kaka Michu wapendeza ati kumbe nawe handsome eeehhh, lakini kumbe naye Flavi wala si mrefu sana mpaka analingana na mzaramo kama weweee hhehehehehe hongera sana kaka kwa kupiga kampeni mpaka binti akafikia hapa.
ReplyDeletehehhh kaka Michu wapendeza ati kumbe nawe handsome eeehhh, lakini kumbe naye Flavi wala si mrefu sana mpaka analingana na mzaramo kama weweee hhehehehehe hongera sana kaka kwa kupiga kampeni mpaka binti akafikia hapa.
ReplyDeleteunapendelea, ungampakata kama K-Lynn
ReplyDeleteMichuzi, kumbe wakati mwingine huwa una heshima kidogo.. Haka kabinti ketu naona umeogopa kukashika kiuno!
ReplyDeletemichuzi umerembua kakaangu !picha hii inafaa ipigwe marufuku Mombasa na Tanga !
ReplyDeletemaana ile mijitu haina maana !
Jamani, haya mavazi anayovalishwa mrembo wetu mbona hayavutii?? Joto lote la Dar mrembo wetu kavaa suti la mikono mirefu. Hembu tuangalie catalogs za warembo wa dunia zilizoendelea wanavyopambwa na tunaweza tukaiga style hizo kutumia vitu (material, jewelery) za utamaduni wetu. Tuna vitambaa vizuri, tuna dhahabu, tanzanite, shanga. Can't we make use of our of all these and make our mrembo akapendeza na kumeremeta?????
ReplyDeletejamani mwenye chuki na achukie lakini si uongo huyu issa michuzi hazeeki kabisa. Hivi kaka siri yako ni nini? yani angalia hata akisema ameoa huyu binti itaonekana ni sawa kabisa kwani haonyeshi uzee kabisa. ee bwana eee hebu tuambie ni mitishamba ipi unaila wewe hadi sura yako inabakia ya udogo? Hongera kaka kwa kulitangaza taifa mtandaoni. nafurahi kila siku ni lazima nicheki bulogu yako kabla sijaanza kazi na kabla sijaenda nyumbani.muhimu
ReplyDeletemashallah!
ReplyDeleteCONGRATURATION FM
ReplyDeleteHUYU DADA NDIYE ANAYESTAHIRI KUTEMBELEA BMW X5 KWASABABU KWA MUDA MFUPI AMEWEZA KUTANGAZA NCHI KULIKONI HATA HAO WATU WANAOKULA HELA YA WALALA HOI ETI MABOLOZI KUMBE WALANGUZI TU..DIPLOMATI GANI UNAFANYA BIASHARA??????????
FM YANI MPAKA WAZUNGU WAME APPRECIATE.... NA WENGI WAO WAKAANZA KUTAFUTA TANZANIA IKO BARA GANI MAANA WENGI WAO WALIKUWA HAWAJUHI HII NI NCHI AU KISIWA FULANI....WATU WANAONIJUA NATOKA BONGO WENGI WALIKUWA WANANIULIZA DO YOU THIS GIRL ...FLAVIAN..? MIE NAJIBU SHE IS MY RELATIVE...
SIYO SIRI UMEFANYA WONDERS SINCE I HAVE BEEN IN UGHAIBUNI SECOND TIME IN TV NAONA TANZANIA 1.WAS MAMA ROSE .2.FLAVIA BASI KAMA SI KWELI MTU ANIAMBIA WALIONYESHA NINI UKIONDOA ANIMAL PLANET.. SERENGETI..
I JUST DREAMING OF SUCH OPPORTUNITIES FOR MY MOTHERLAND
MKEREKETWA UGHAIBUNI///
Wewe michuzi ninitena hapo... Si umkumbatie tu.. unaulaza? haya..!! SteveD.
ReplyDeleteThis Time Michuzi hujadinda, safi sana. huo ndio ukomavu wa ki-mjini, sio unakuwa kama mlugaluga anae-dinda akiona vituuzzz....
ReplyDeleteInaelekea This time uli-park GARI MOSHI vizuri