nakula pozi na flaviana leo baada ya binti yetu huyu kuongea na waandishi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 08, 2007

    Yaani wewe kaka ungetabasamu tu kidogo, nawewe ungefaa kwenda Mr. universe! Watu mmejaaliwa sura, halafu mnazubaa. Mimi hata siwaelewi!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 08, 2007

    michuzi ulikuwa unalilia nini? halafu unapenda maujiko wewee
    kidogo tu picha isitoke jinsi sura lako lilivo baya lol

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 08, 2007

    Bwana Michuzi naye kwa tabasamu tu.. bwana hatukuwezi, au unajiandaa kwa ajili ya mr universe 2007?!. tuambie mshirika! SteveD.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 08, 2007

    kaka michuzi huo mkono wa kushoto ungekua unaishi urabuni umeshakatwa zaaaamaani.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 08, 2007

    Michuzi na wewe hupitwii!?! Vandumweh!!
    Kila bibi unataka kupiga nae picha wewe tu!?!
    Au ndo unajiongezea CV hivyo? Mweeh!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 08, 2007

    Issa VIPI MZEE UNAWEZA UKAUZA HII PICHA (SIJUI LEO MKUNO UMESHIKALIA WAPI MAALIM)..NAONA HUJAFUNGUA KINYWA MZEE..UKIFUNGUA "..DENDA HILI.."..ROHO INAUMA UWEZO SINA...

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 08, 2007

    Walau leo Misupu mkono umekaa mbali na nyonga ya mtoto wa mwenzio!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 08, 2007

    Issa mkono huo

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 08, 2007

    Kaka Michuzi,
    Kwa nini wewe ukipiga picha na wadada au vifaa kama unavyowaita wewe mkono wako mmoja daima hukaa nyuma? Hivi huwa unashika sehemu gani? Unapenda nanihii nini!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 08, 2007

    Mrembo wetu kwa kweli unapendeza!
    Mimi natamani kama wadada wa KiTz wangekuwa wanadumisha unachoro kama wewe. Tungekuwa na wadada wazuri sana japo hawawezi kukuzidi wewe. Eti wadau, mnaonaje dada zetu wanavyojichanganya na nywele na urembo wa kigeni au atifisho? Mnasemaje kwa hili? Mi namaindi sijui nyie.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 08, 2007

    hehhh kaka Michu wapendeza ati kumbe nawe handsome eeehhh, lakini kumbe naye Flavi wala si mrefu sana mpaka analingana na mzaramo kama weweee hhehehehehe hongera sana kaka kwa kupiga kampeni mpaka binti akafikia hapa.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 08, 2007

    hehhh kaka Michu wapendeza ati kumbe nawe handsome eeehhh, lakini kumbe naye Flavi wala si mrefu sana mpaka analingana na mzaramo kama weweee hhehehehehe hongera sana kaka kwa kupiga kampeni mpaka binti akafikia hapa.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 08, 2007

    unapendelea, ungampakata kama K-Lynn

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 08, 2007

    Michuzi, kumbe wakati mwingine huwa una heshima kidogo.. Haka kabinti ketu naona umeogopa kukashika kiuno!

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 08, 2007

    michuzi umerembua kakaangu !picha hii inafaa ipigwe marufuku Mombasa na Tanga !
    maana ile mijitu haina maana !

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 08, 2007

    Jamani, haya mavazi anayovalishwa mrembo wetu mbona hayavutii?? Joto lote la Dar mrembo wetu kavaa suti la mikono mirefu. Hembu tuangalie catalogs za warembo wa dunia zilizoendelea wanavyopambwa na tunaweza tukaiga style hizo kutumia vitu (material, jewelery) za utamaduni wetu. Tuna vitambaa vizuri, tuna dhahabu, tanzanite, shanga. Can't we make use of our of all these and make our mrembo akapendeza na kumeremeta?????

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 08, 2007

    jamani mwenye chuki na achukie lakini si uongo huyu issa michuzi hazeeki kabisa. Hivi kaka siri yako ni nini? yani angalia hata akisema ameoa huyu binti itaonekana ni sawa kabisa kwani haonyeshi uzee kabisa. ee bwana eee hebu tuambie ni mitishamba ipi unaila wewe hadi sura yako inabakia ya udogo? Hongera kaka kwa kulitangaza taifa mtandaoni. nafurahi kila siku ni lazima nicheki bulogu yako kabla sijaanza kazi na kabla sijaenda nyumbani.muhimu

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 08, 2007

    mashallah!

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 09, 2007

    CONGRATURATION FM
    HUYU DADA NDIYE ANAYESTAHIRI KUTEMBELEA BMW X5 KWASABABU KWA MUDA MFUPI AMEWEZA KUTANGAZA NCHI KULIKONI HATA HAO WATU WANAOKULA HELA YA WALALA HOI ETI MABOLOZI KUMBE WALANGUZI TU..DIPLOMATI GANI UNAFANYA BIASHARA??????????
    FM YANI MPAKA WAZUNGU WAME APPRECIATE.... NA WENGI WAO WAKAANZA KUTAFUTA TANZANIA IKO BARA GANI MAANA WENGI WAO WALIKUWA HAWAJUHI HII NI NCHI AU KISIWA FULANI....WATU WANAONIJUA NATOKA BONGO WENGI WALIKUWA WANANIULIZA DO YOU THIS GIRL ...FLAVIAN..? MIE NAJIBU SHE IS MY RELATIVE...
    SIYO SIRI UMEFANYA WONDERS SINCE I HAVE BEEN IN UGHAIBUNI SECOND TIME IN TV NAONA TANZANIA 1.WAS MAMA ROSE .2.FLAVIA BASI KAMA SI KWELI MTU ANIAMBIA WALIONYESHA NINI UKIONDOA ANIMAL PLANET.. SERENGETI..
    I JUST DREAMING OF SUCH OPPORTUNITIES FOR MY MOTHERLAND

    MKEREKETWA UGHAIBUNI///

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 09, 2007

    Wewe michuzi ninitena hapo... Si umkumbatie tu.. unaulaza? haya..!! SteveD.

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 13, 2007

    This Time Michuzi hujadinda, safi sana. huo ndio ukomavu wa ki-mjini, sio unakuwa kama mlugaluga anae-dinda akiona vituuzzz....

    Inaelekea This time uli-park GARI MOSHI vizuri

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...