
'presha' ambao ni wimbo ulioimbwa na hafsa kazinja akimshirikisha banana zorro ni kibao ambacho kimetokea kuwika sana bongo kwa sasa. hebu kisikilize kwa kubofya hapaHafsa ft Banana Zorro - Pressure - http://www.jambovideo.com/2007/06/11/hafsa-ft-banana-zorro-pressure/
Nao wamezidi sasa kwani hawawezi kuwa na mike mbili kila mmoja akashika yake mpaka washee hiyo moja?
ReplyDeleteBibi yake Banana na Bwana wake huyo Hafsa sasa hivi watazua ZOGO tu hivi karibuni, nyie subirini tu!
Nyimbo yao ni nzuri sana nimeipenda, pia ninaamini mwanamuziki kama Banana anawezakufanya mambo makubwa tu katika ulimwengu wa muziki tatizo mitazamo yake sijui iko vipi kuhusu kuvusha kazi yake nje ya nchi. Historia inaonyesha mapromota wa kibongo hawana ujanja sana katika medani za kimataifa, fikiria hilo Banana...!
ReplyDeleteWatu wa wabaya sana! Walizusha hawa watu hawapatani siku hizi na wanawindana vibaya sana,hata salamu hamna!Mbona naona kama siyo?? Pressure Pressure ya nini.. Mwawasema sema kwa nini!!
ReplyDeleteLee
hakika banana anakipaji bwana nampa respect katika wanamuziki vijana wa tanzania banana ni unique wewe jaribu sikiliza vocals zake anavyopanga na anvyoimba ,zikilza bridges zake na ntiririko mzima wa uimbaji na mziki wake you can tell kijana anauwezo mkubwa sana wa kimuziki katika kiwango kinachokubalika kimataifa
ReplyDeletebanana achana na mapromota wababaishaji wa bongo ebu cheki kivyakovyako na WOMAD au hata PUTUMAYO hizi ni lebels au distributors wa kubwa hapa duniani wa mziki unaoitwa WORLD MUSIC ambao hata uo wako pia unfit kwenye hiyo category unaweza ukasimama kidete na majina ya akina mtukudzi na wengine wengi tuu big up and try out these two distributors
wala hawajakosaana mineno ya watu..kweli annoy hapo juu huyo bibi wa banana ambaya ni ZAITUNI WALELE sister dread white,WA MTONI KIJICHI na huyo MR wa Hafsa lazima waje juu mambo ya mic moja...haya kazi kweli kweli.
ReplyDelete