aboubakar sadik akiwa na mai waifu wake. kijana huyu ni mmoja wa watangazaji mahiri wa redio wani stirio na yuko mstari wa mbele katika kuuenzi muziki wa kibongo na pia ni mmoja wa waasisi wa kipindi maarufu cha 'nani zaidi' cha redio hiyo. kijana anakubalika bongo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 15, 2007

    Na mkewew lazima akubalike bongo....natural....lakini bdo anaona aibu au anaogopa bado publicity...huo mkao kama anaogopa vile...kuwa hadharani ...mwambie asiogope kitu ndio mafanikio ya kuolewa na celebrity...he heh heh...

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 15, 2007

    Michuzi ukizungumzia mmoja wa waasisi kuhusu huyo kijana ninakuwa sielewi, kipindi cha nani zaidi kilikuwapo tokea hiyo redio inaanzishwa mwaka 94 na huyo kijana hakuwapo wala hakutegemewa kuwapo au kuna version nyingine ya Nani zaidi siku hizi?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 15, 2007

    Michuzi, fyi Sadik sio mwasisi wa kipindi cha 'Nani Zaidi'; wakati kipindi hicho kinaanzishwa alikuwa hajaajiriwa Radio 1, yeye ni moja la watangzaji wimbi la pili kujiunga na Radio 1.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 15, 2007

    Abuu nakushauri uongeze umahiri wako kwenye mambo ya habari ili uwe mtangazaji mahiri. Hii itakusaidia sana baadaye kwa sababu kwenye kutoa burudani upo juu, sasa na ukijiimarisha upande wa pili utakuwa unaweza 'kupiga miguu yote'.

    Big up sana mtu wetu Abuu "mtu chuma" (zamani kwa fujo). Kazi zako ninazikubali.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 15, 2007

    Michuzi kama kumbukumbu zangu zinavyoonyesha kipindi cha NANI ZAIDI kilianzishwa enzi za akina MASTER T(TAJI LIUNDI)siyo ABUU kama unavyotaka kutuambia na wakati ABUU anaingia Redio ONE akina TAJI walikuwa wameshaoondoka redio one,hebu rekebisha kumbukumbu zako

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 15, 2007

    Mimi namfagilia kwa sana mshikaji.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 15, 2007

    Bigup kwafujo,nakuaminia.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 15, 2007

    michuzi acha uongo wewwe mtu mzima muasisi wa nani zaidi ni mzee wa macharanga ambaye sasa yuko bbc kondon

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 15, 2007

    Abubakar hongera kwa kazi yako nzuri. nina ombi moja kwako kwa kuwa unafanya kazi kwenye ofisi imoja na watu wa ITV naomba waambie watufahamishe kwanini hawakuonyesha kipindi cha REBECCA juzi tarehe 13 june na jana 14 june? hayo yote yamefanyika bila kutupa taarifa yoyote sisi watazamaji wao wakati ukitazama ratiba ya vipindi vyao kwenye magazeti yao ya alasiri inaonekana kuwepo saa 21.45pm. huu ni ususmbufu mkubwa sana kwa watizamaji na kutuharibia ratiba zetu pia kwani ni bora tungeamua kulala muda huo kuliko kusubiri kitu ambacho hakipo. Au hao ITV wameishiwa? au wamelipa nusu? Hii tabia hao ITV wameizowea kutuwekea tamthilia halafu hawazimalizii miwisho wake. tabia mbaya sana. kwanza siku zenyewe silikuwa Monday to Friday mkapunguza up to Thursday, sasa naona wiki hii mmeanza kuweka Monday and Tuesaday!! mnairefusha inakuwa ndefu kama barabara isiyo na kona mpaka inabore!!!!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 15, 2007

    JAMANI MWENYE LINK YA MECHI YA TAIFA STARS NA BURKINA FASO ATUPE! GOOD WIFEY MAZEE!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...