mdau kaleta hii picha ya stesheni ya treni kubwa kuliko zote ujeremani iliyopo berlin na kauliza endapo kama itakuwa vibaya na sie bongo tukawa nayo kama hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 11, 2007

    huyu mdau kakosa akili

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 11, 2007

    Tujenge hii my %@@%

    wakati wagonjwa wanalala chini...it sounds like common sense is not so common to you

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 11, 2007

    huyo mdau anaweuka!hao watanzania vijijini wanakunywa maji mtoni,nini stesheni ya kama hii.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 11, 2007

    Kwa treni gani tuliyonayo?!!
    Seriously,do we still have that type of transportation?(I mean gari moshi).

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 11, 2007

    Uwanja wa ndege tu tatizo, itakuwa stesheni ya treni??!! Ndo mambo ambayo huwa nayaita "KUKURUPUKA". Kesho Michuzi nitakuletea picha ya Kanisa kubwa kuliko yote Vatican na Msikiti mkubwa kuliko yote Mecca, kisha huyo mdau wa ujerumani anieleze kama tutaweza kuvijenga hivyo Bongo.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 11, 2007

    Kwanza tujenge upya reli ya kati/sio kukarabati kutoka Dar es salaam Mpaka Kigoma. Pili tununue Engine na wagon mpya za Tren. Then tunaweza kufukiria kujenga station inayoringana na idadi ya tren zinazopita hapo kwa saa na siku.
    Reli hatuna tren hatuna kkujenga station itasaidia nini?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 11, 2007

    Huyo mdau atakuwa ni genius tu..Unajua hizo ndio ndoto tunazotakiwa tuwe nazo...Yeye kashauri tujenge lkn hajasema lini....kwa hy hata kama miaka 100 ijayo...hiyo haijalishi..tusiogope vitu hivyo kwani na wao waliwaza hivyo hivyo na walidhani haiwezekani wkt fulani lkn sasa wanavyo...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...