Home
Unlabelled
stesheni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
huyu mdau kakosa akili
ReplyDeleteTujenge hii my %@@%
ReplyDeletewakati wagonjwa wanalala chini...it sounds like common sense is not so common to you
huyo mdau anaweuka!hao watanzania vijijini wanakunywa maji mtoni,nini stesheni ya kama hii.
ReplyDeleteKwa treni gani tuliyonayo?!!
ReplyDeleteSeriously,do we still have that type of transportation?(I mean gari moshi).
Uwanja wa ndege tu tatizo, itakuwa stesheni ya treni??!! Ndo mambo ambayo huwa nayaita "KUKURUPUKA". Kesho Michuzi nitakuletea picha ya Kanisa kubwa kuliko yote Vatican na Msikiti mkubwa kuliko yote Mecca, kisha huyo mdau wa ujerumani anieleze kama tutaweza kuvijenga hivyo Bongo.
ReplyDeleteKwanza tujenge upya reli ya kati/sio kukarabati kutoka Dar es salaam Mpaka Kigoma. Pili tununue Engine na wagon mpya za Tren. Then tunaweza kufukiria kujenga station inayoringana na idadi ya tren zinazopita hapo kwa saa na siku.
ReplyDeleteReli hatuna tren hatuna kkujenga station itasaidia nini?
Huyo mdau atakuwa ni genius tu..Unajua hizo ndio ndoto tunazotakiwa tuwe nazo...Yeye kashauri tujenge lkn hajasema lini....kwa hy hata kama miaka 100 ijayo...hiyo haijalishi..tusiogope vitu hivyo kwani na wao waliwaza hivyo hivyo na walidhani haiwezekani wkt fulani lkn sasa wanavyo...
ReplyDelete