usiku huu idhaa ya kiswahili ya bbc imefanya hafla maalum huko london ya kumuaga suzane mungy mtangazaji mahiri aliekuwepo katika idhaa hiyo kwa takriban miaka tisa. suzy anarejea nyumbani bongo kuungana na familia yake. mai hazbandi wake innocent mungy alikwisharejea bongo miaka kadhaa nyuma na sasa anafanya kazi ofisi ya makamu wa rais. pichani ni suzane na wadada wenzake wa idhaa ya kiswahili amao ni flora nducha (shoto) na mariam omar (kulia)


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 14, 2007

    mechi ya taifa stars na burkinafasso vipi jamani? tupeni link (website) kama tunaweza kuona mechi online, please wadauzzzz post the information if you know.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 15, 2007

    Anarudi ITV-Daima nini, lakini miaka tisa kazichanga hasa, ila nafikiri ataishia kuwa Afisa uhusiano kama walivyo akina Rukia mtingwa na wenzeke

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 15, 2007

    Rudi nyumbani Suzy but we shall surely miss you! Umefanya kazi nzuri sna na mimi binafsi lazima niseme, your future is BRIGHT! Usikae sana bongo tafuta nafasi nyingine hata Afrika kusini...any international media. You deserve THE BEST!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 15, 2007

    Da Suzie wewe bado ni bomba sanaaaaaaaaaa!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 15, 2007

    bila shaka atatua TUT

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 15, 2007

    Wewe hapo juu unae sema anarudi ITV. ujue unampango wa kurudi home mimi nachukie mijitu mingine jamani na akili zao fupi sana hivi haya maisha wengine mnaona mmepatia sana sio.ngoja mimi nirudi zangu bongo nikapeteeee kiulainiiiiiiii.kuna wengine wanazidi kuwa wazee hapa tu ngoja mzeeke zaidi mtaishia kwenye residential homes

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 15, 2007

    Huo mfuko wa Pinkish chini ya kiti unatafuta nini hapo?, siifagilii kabisa hiyo mifuko, ati unampokea mtu airport kaubeba huo. Bora kubeba rambo

    ReplyDelete
  8. Muda wote huo umemwacha husband peke yake TZ?! shauri yako utakuta nyumba ndogo, tanzanian gals are very beautifull, men hawezi kujizuia be prepared lady!

    maoni yangu tu jamani

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 15, 2007

    He!,
    kumbe hii mifuko ipo hata Ukerewe????....

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 15, 2007

    ANAJUA KAZI ANAYOKWENDA KUPEWA SIE YETU MACHO NA MASIKIO.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 15, 2007

    michuzi na wewe uache uongo, mumewake hajarudi bongo miaka kadhaa, ni mwaka jana tu.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 15, 2007

    aah welcome back dada... ila umepauka fulani hivi hung'ai kama ulivyokuwa hapa bongo enzi hizo..mmmh au ndo uzee tena!! Hongera sana lazima umezichanga sana ila inno huku bongo ndo tumeshamchoka kwa kuwa kiwembe bora urudi labda atatulia na kufunga zipu na hakikisha unaenda kumpima kwanza kwani asije kukatishia maisha bureee wakatu you still have full of life to live... and pls take my words

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 15, 2007

    Waridi nimekuelewa, vice versa haiwezekani pia?

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 15, 2007

    LOH! hiyo obsession ya wabongo na UZEE! Utaona comments, huyo mzee, yule kazeeka, sijui nani kapauka, kaisha!

    JAMANI WOTE TUTAZEEKA!!!!!

    Wewe unayemtukana mzee leo, kesho utakuwa mzee kama utaona hiyo kesho!

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 17, 2007

    Hee bwana Michudhi,kuna yule dada alikuwa ITV na yeye, Asha Mtwangi siku hizi yuko wapi?Long time vile uongo mbaya yule sister nilikuwa namzimia sana tatizo kidogo umri wake ulikuwa umekwenda.Anyway nipe news zake japo kiduchu kujua mahali alipo.cheers.

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 18, 2007

    Dada Suzy, karibu sana nyumbani na tunasubiri kwa hamu kupata uzoefu wako wa bbc. Nikupe tu ushauri wa bure dada Suzy, kuna wazushi wengi sana mji huu, wameshaanza kusema umeezeeka, oh umepauka, mara mumeo sijui kafanya nini! haya ndio utakayokutana nayo huku bongo! usishange wakati wewe unachap kazi bbc, huku tunachapa majungu, hujazeeka wala kupauka na hiyo picha moja sio sababu ya mtu kukudharau!

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 22, 2007

    suzana, wewe unajua ukweli wooote kuhusu mumeo. uongo, majisifu, wembe, kujikweza,, hakuna jipya, mara sijui lowassa kakutafutieni nyumba tpdc, mara sijui, ... kafanya vile. acheni midomo jamani... kuneni pale mikono yenu inapofikia. Tatizo, sijui kwanini humsaiidii nae ni mumeo. Mfano, ulipokuwa unasoma kwanini usimkazanie nae asome sasa amenunua cheti na anatafuta dezeteshen ya kulipia? si anazidi kujitafutia makubwa zaidi? hivi hajui kuwa ni kosa la jinai, kufoji? hivi kweli yakimpata utasema wamemwonea hali unajua kabisa ukweli wote binti Lukindo????

    kabla hata hujaanza kazi huko tut, ...shauri yenu, majuto mjukuu!!!

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 26, 2007

    Michuzi,

    Naomba kwa mara ya kwanza nitoe maoni yangu kuhusu hii discussion inayoendelea ya Suzanne. Nimekuwa nafuatilia kwa wiki mbili sasa naona inaelekea kubaya.

    Blog yako sasa inaingilia hii familia na kutoa kashfa ambazo hazina msingi. Unaonekana unasapoti hawa wanafamilia kutukanwa na kuzushiwa kashfa zisizo za msingi. Unaporuhusu watu kuchafua majina ya watu tena wengine ni matumishi wa serikali kuwa wananunua vyetu na mambo mengine chungu mzima sio ustaarabu na sidhani kama ilikuwa nia yako kwa blog hii. watu wengine tunaopitia hii blog ni watu wenye nia njeama ya kujifunza kutoka humu na kuto michango ya kusaidiana.

    Inaonekana mtu wa mwisho ana donge na huyu mumewe na huyu dada, maana anaonekana kabisa ana hasira nae au anamchukia bila sababu.

    nani asiyejua Mungy kasoma wapi na lini, tunajua hata alikuwa Rais wa Chuo pale TSJ na alitoka na cheti cha nguvu. Nani asiyejua Mungy alipokuwa London alikuwa anasoma na alipata Masters yake ya heshima na alifanya dissertation yake kopi zipo hata pale PSRC, Chuo Kikuu Library na hata Air Tanzania alikokuwa anafanya kazi?

    Michuzi, hebu acha kutoa nafasi za watu kukashifu hii familia, kama watu wana wivu nao, wawatafute waongee nao. Acheni wivu na fitna, ndio maana wenzao wanaendelea ninyi wengine mnaishia kuwaangalia tu kuzusha vitu visivyoeleweka.

    jamani, tuache kuharibia watu sifa zao!

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 26, 2007

    Do!

    Wanablog hii, tumeingiliwa. nimesoma post ya mwisho kuhusu huyu bwana , ninavyomjua mimi sivyo kama ilivyoelezwa humu. Inasikitisha, kama hata kama mtu unamchukia kiasi hiki mtu, si vizuri kusema vitu ambavyo sio kweli. Hivi huyu bwana si alimaliza shule (masters)hata kabla ya mkewe huko London na akarejea huko nyumbani?

    Wengine tulienda hata kwenye graduation yake! Anajulikna sana kiasi kwamba haya yaliyoandikwa hapa ni fitna na nasikitika kuwa sasa tumeingiliwa. Hivi kama humpendi mtu si umwambie?

    Ukisoma, nakuhakikishia kama huyu sio mtu wa familia yake, na hasa kutoka labda ndugu wa mke wake, lazima ni mtu anawajua sana hawa jamaa. Inasikitisha jinsi hii blog inavyoanza kuruhusu majungu na chuki binafsi.

    Nasikitika kaka Michuzi kwa hali hii, kama umeishiwa tafadhali funga hii blog!

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 26, 2007

    Bwana Mungy,

    Pole sana kwa kashfa hizi, huyu mtu ana beef na wewe kama wanavyosema wabongo. Puuza wala usikonde, ndio binadamu walivyo, na huyu ana lake jambo, na ndio maan hkuna anayemuunga mkono, achana nae, na msamehe!

    Suzan, kama unasoma hizi, ujue umaarufu ndio ubaya wake, na watu hawapendi maendeleo yenu. Funga buti, mtakutana na maneno mengi makubwa zaidi ya haya.

    ReplyDelete
  21. AnonymousJuly 02, 2007

    Acheni utoto ninyi, hizi comments ni zinatoka kwa wahusika wenyewe! huku ukerewe tunajua ukweli woote kuhusu mambo ya huyo bwana, wala hatuna bifu ila ukweli mtupu unaelezwa! hivi kweli ni sawa mtu kununua cheti na kupata nafasi ya mtu ambaye amekula umadee hivi hivi tu? ebu wala msilete za kuleta maana panapofuka moshi mjue moto uko karibu! sie yetu macho, mtaishia bifu, sijui nini.. UKWELI KWELI UNAUMA! NA HAUWEZI KUJIFICHA MAISHA! HAmjaona hata tuliteua mabalozi kumbe ni wanyamulenge na wakongO? watu kama sisi tukisema eti Bifu?? Na serikali ilikuwa na bifu na watu wale? Shauri yenu....

    ReplyDelete
  22. AnonymousJuly 06, 2007

    haya bwana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...