mc ni taji liundi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 21, 2007

    Watu wengine bwana kutafutaga "ujiko!?"
    Huyu TACAIDS(Ukimwi) yeye, Coca cola yeye. u-emsii yeye! Hamuwaachii na wenzenu!?! Mweeh!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 21, 2007

    We Perez hivi kweli unaakili wewe??? Kasome na wewe u can be like Taji bwana sasa we kinachokukera nini hapo kwa huyo jamaa kuwa MC?? Jamaa yupo juu longtime mzee na maswala ya utangazaji ameyaanga zaidi ya miaka kumi iliyopita nahisi kipinti hicho we ulikuw bado upo kijijini kwenu sijui Musoma......... sio unakuja humu kupost comments zisizo na manufaa...

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 21, 2007

    AAAHHH WATZ MMEZIDI MSHAMWONA RYAN SEACREST WA AMERICAN IDOL KILA KITU YUPO YEYE MBONA HAMSHANGAI? KAMA MTU NDO CARRIER YAKE KWANINI ASIFANYE MNANIUZI ILA JAMAA KACHOKA SANAA HAKUWA HIVI AU NDO UZEE UNAKUJA TEH TEH.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 22, 2007

    Jamni lazima ajihusishe kwenye TANCAIDS..si waaadhirika.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 22, 2007

    Taji keep it Up !!! Usisikilize maneno ya watu wasiopenda maendeleo ya binafsi.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 24, 2007

    Nyie wote mmekosea simnajua wabongo tena ilo ni lijisifaa kwamba ana mjua Taji liundi.kweli mpori pori huyo

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 24, 2007

    HAPA NAONA TAJI UKIWA UMECHOKA NA KAZI YA MASAA KADHAA KWENYE JUA HAPO KIWANJANI.NAPENDA KAZI YAKO TOKEA MAMBO YA DJ SHOW RADIO ONE UKITUELEZEA NA KUTUCHEZEA MAMBO ANUWAI....AKAPELAetc.
    MAISHA MAREFU TAJI,USIVUNJIKE MOYO NA WABEBA BOX AMBAO KILA WAKIMWONA MTU ALIYEKO BONGO HUSEMA KACHOKA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...