Home
Unlabelled
taji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Watu wengine bwana kutafutaga "ujiko!?"
ReplyDeleteHuyu TACAIDS(Ukimwi) yeye, Coca cola yeye. u-emsii yeye! Hamuwaachii na wenzenu!?! Mweeh!
We Perez hivi kweli unaakili wewe??? Kasome na wewe u can be like Taji bwana sasa we kinachokukera nini hapo kwa huyo jamaa kuwa MC?? Jamaa yupo juu longtime mzee na maswala ya utangazaji ameyaanga zaidi ya miaka kumi iliyopita nahisi kipinti hicho we ulikuw bado upo kijijini kwenu sijui Musoma......... sio unakuja humu kupost comments zisizo na manufaa...
ReplyDeleteAAAHHH WATZ MMEZIDI MSHAMWONA RYAN SEACREST WA AMERICAN IDOL KILA KITU YUPO YEYE MBONA HAMSHANGAI? KAMA MTU NDO CARRIER YAKE KWANINI ASIFANYE MNANIUZI ILA JAMAA KACHOKA SANAA HAKUWA HIVI AU NDO UZEE UNAKUJA TEH TEH.
ReplyDeleteJamni lazima ajihusishe kwenye TANCAIDS..si waaadhirika.
ReplyDeleteTaji keep it Up !!! Usisikilize maneno ya watu wasiopenda maendeleo ya binafsi.
ReplyDeleteNyie wote mmekosea simnajua wabongo tena ilo ni lijisifaa kwamba ana mjua Taji liundi.kweli mpori pori huyo
ReplyDeleteHAPA NAONA TAJI UKIWA UMECHOKA NA KAZI YA MASAA KADHAA KWENYE JUA HAPO KIWANJANI.NAPENDA KAZI YAKO TOKEA MAMBO YA DJ SHOW RADIO ONE UKITUELEZEA NA KUTUCHEZEA MAMBO ANUWAI....AKAPELAetc.
ReplyDeleteMAISHA MAREFU TAJI,USIVUNJIKE MOYO NA WABEBA BOX AMBAO KILA WAKIMWONA MTU ALIYEKO BONGO HUSEMA KACHOKA.