mpira umekweishaa. tumeshinda 1-0!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Home
Unlabelled
tumeshinda!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Alhamdulilah, Bwana asifiwe na ashukuriwe. Tumeona mwezi
ReplyDeleteTUNATISHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
ReplyDeleteHAPO PIGA UA LAZIMA TUMALIZE NA POINT 11,
SS HAPO LEO SENEGAL AFUNGWE TUUUUUU ILI MSUMBIJI AFIKISHE POINT NANE,NA AJE KUFIA BONGO
MBONI RAHAAAA!!!
ReplyDeletenawapongeza vijana pamoja zengwe la refa. mungu ibariki tanzania
ReplyDeleteMichuzi acha kutuzingua mbona site zote hazisemi kama mechi imekwisha--ama unakuwa refa wewe nini?
ReplyDeleteFAGILIA BABAAKE !! VIJANA WA JK LEO WAMEKAMUA FRESH, WAKIRUDI LAZIME WAKALE PILAU TENA IKULU !!
ReplyDeleteHongereni sana vijana. Haya ndio matunda ya ushirikiano baina ya wadau wa soka na wananchi kwa ujumla. Tunawaombea heri katika mechi iliyobaki tuweze kufika Ghana.
ReplyDeleteKaka Michu, keep up the good work you are doing of keeping us informed about various issues happening home and abroad.
Huu mji utakuwa mdogo sana kesho! Mulioko ughaibuni nataka kuwaambia kuwa Tumeloga sana mechi hii. O'C-Sinza
ReplyDeleteJamani tunaenda Ghana, hamna mtu wa kutusimamisha, hapa Msumbuji mambo kesho, Senegal wanaogopa sana, wamekataa hotel waliyopangiwa, pia wana imani za kichawi kishenzi.... Tanzania Oyeee,
ReplyDeleteNasikia Bongo ni Full shangwe saa hii!! nawafagilia sana naona sasa wameanza kuelewa somo la mbrazil,kilichobaki ni kukamua mechi ya mwishooooo,poa sana vijana- Cass
ReplyDeleteTumeshinda, tumefurahi na vijana tunawapongeza. Lakini kwa jinsi michezo ilivyosahaulika katika bajeti hii ya 2007/08, huko tuendako tutaendelea kushinda? Mungu ibariki Tanzania.
ReplyDeletenatamani ningekua bongo, maana naona leo watu hawalali huko
ReplyDeletehuyo mwandishi wa website ya bbc kanitia kichefuchefu, ile conclusion yake kwenye live score FULL TIME: pale anaposema ...Tanzania is likely to lose top spot to Senegal when teranga lions play Mozambique tomorrow'.. nasema hivi.. kesho msumbiji akidinda ... hakyanani sijui ataandika nini
ReplyDeleteAisee kama Anony wa 11:35, huyu jamaa wa BBC kaonyesha dharau sana.Hata kama sisi ni vibonde, tupe heshima yetu bwana.Pambaf sana
ReplyDelete