Home
Unlabelled
twin tawa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Very nice picture. Love it...michuzi you are the man.....Thanks for this
ReplyDeletePicha mwanana sana hii.Naisifu!
ReplyDeletemichuzi hiyo chamber ya camera ina vumbi kidogo
ReplyDeletepicha kali sana hii kaka michuzi!
ReplyDeleteMichuzi kwa fix we ni kiboko!! "Maegesho ya magari YA kisasa"!! ina maana wafanyakazi wote wa BOT wana MAGARI YA KISASA? Mbona wengine wengi tu wana magari machovu wengine wanaenda kazini na bajaji?
ReplyDeleteNaam, picha nzuri lakini.....
ReplyDeleteAccording to an email circulating amongst Tanzanians this building cost a total of USD 345, which means its estimated cost per square meter is USD 8,625 which is four times New York City prices.
This is like we getting shafted with no vaseline!!!
Nina hoja watanzania wenzangu tuliopo Bongo, hivi huyu mama Zakhia Meghji na washauri wake wanaugomvi na wenye magari? Kweli wameshindwa kutafuta vyanzo vingine vya kukusanya kodi badala ya kumng'ang'ania huyu mwenye gari peke yake? Kodi kwenye petrol/disel imeongezeka, fuel road toll imeongezeka kwa shilingi 100 nzima. Na kama haitoshi wamemaliza kwa kuongeza kodi ya mwaka ya magari (Vehicle licence fee) kwa kuanzia asilimia 300 mpaka 1050! Magari ya cc chini ya 1500 sasa watalipa shilingi 80,000/= badala ya 20,000/=, kati ya cc 1500 na 5000 watalipa shilingi 230,000/= badala ya 20,000/= wakati yale ya zaidi ya cc 5000 watalipa 100,000/=. Watanzania imefika wakati wa kufungua vinywa vyetu vinginevyo hawa watu watatumaliza. Hii ni hatari mapato ya serikali yanalenga kwa mtu yule yule mmoja, tutafika kweli?
ReplyDeleteMh.anony wa 9: 56 hapo juu, tunaomba utuwekee humu copy ya hiyo e-mail tuisome
ReplyDeletebravo government!!!!! hizo ndio sehemu za kutoza kodi kabisa..... sio kwenda kuwakamua maskini..... kazi ya kodi ktk mfumo wa uchumi wa soko ni kuchukua kwa wenye nacho na kuwasaidia wasio nacho.....bado tutaongeza na property kwa wenye majumba ya kifahari.....!!! kama umeweza kununua gari kwa mamilioni ya fedha kwa nini ushindwe kulipa 230k kwa mwaka??? sema tu ongezeko la kodi kwenye petroli laweza kuongeza mfumuko wa bei, otherwise, all is right!!! no free lunch hapa, hizo barabara za lami zitangenezwa kwa hela kutoka wapi, kama sio wenye magari wanaozitumia???
ReplyDeleteWe anon hapo juu acha kushoboka tu, soma statement uielewe, Michu anazungumzia maegesho ya kisasa na sio magari ya kisasa. Dont complicate issues, the statement is straight forward!Schade!
ReplyDeleteKweli Anon wa 10;44,huyu Zakia na JK wake sijui wanawaza nn.Kwanza kupandisha fuel tax inamaanisha kila kitu kitapanda bei, hata hiyo kupunguza kodi income tax kwa mishahara haitakuwa na maana.Mbaya zaidi ni kuwa hiyo hela wanayokusanya yote wanaila kwa manunuzi hewa,safari zisizo na maana...........,k......mae wallah,nchi hii
ReplyDeleteI support your point! Tatizo lingine zaidi ni kutoona hizo hela zinazokusanywa zinaenda wapi? Maana ukilinganisha na wenzetu wa dunia ya kwanza ambao wanakusanya kodi for everything lakini tunaona matokeo ya ukusanyaji wa fedha hizo. Barabara safi, public transportation is well organized! Sio kila mtu anajisikia anaenda kuandikisha gari lake na anaingia barabarani kubeba abiria. Halafu hizo kodi ni hela nyingi sana, compare hizo kodi na kima cha chini cha mishahara ya watanzania. Where do they meet?
ReplyDeleteWewe anony wa June 15, 2007 1:34:00 PM EAT acha kushoboka, inaonyesha jinsi gani upeo wako wa kuelewa mambo ulivyokuwa haba. Hapa hutakiwi hata kwenda darasani, ukicheza kidogo tu na gharama katika sekta ya usafiri jua kila kitu kitatingishika. Sasa kwa ongezeko hili la bei ya petrol na gharama za leseni ya gari subiria kama weye unayedai mlalahoi utaweza hata kununua maghimbi sokoni. Amka acha wivu wa kijinga kama wewe huna gari leo subiri zamu yako ifike upate siyo kumuonea wivu mwenye nalo
ReplyDeletewe michuzi we una uhakika hizi boti ni za uvuvi?sio tug boats za bandari?
ReplyDeleteHongera serikali kupandisha kodi ya magari itasaidia kupunguza malofa wenye magari barabarani.
ReplyDeleteKama wewe lofa kwa nini umiliki kagari.Siku hizi eti unakuta mtu ana gari lakini yuko ndani ya gari anaendesha huku kavaa mitumba ya 500.
Huna pesa ya kodi ya serikali uza haraka hicho kigari takataka tupishe wenye magari yetu tuendeshe kwa raha zetu bila msongamano barabarani. Ok.
DONT`T JOIN DRIVING CLAN WHEN YOUR POOR.
Itasaidia sana watu kujua kuwa gari siyo asset ila ni means of transportation. Utajiri wa kitanzania ni jinsi ulivyo na magari nje ya nyumba. Mtu ana mke na watoto watatu lakini ana magari saba nje ya nyumba ...Ya nini yote hayo..na yote utakuta ni ya miundo moja au sedans....Nitaelewa kama mtu ana luxury car moja, SUV moja na another small car. Kwa vile on weekend atatumia luxury one na my wife wake atatumia sedan na wakiwa wanaenda mikoani basi SUV itafanya road trip.
ReplyDeleteKodi ni muhimu sana kwa nchi yetu
anon hapo juu unayetaka e-mail inayoonesha jinsi tulivyof**wa kwa ujenzi wa hizo twin tower nitumie e-mail: habarinyeti@gmail.com
ReplyDeleteDamn! Habarinyeti, I just got that email and boy oh boy! It looks that someone robbed or swindled big time and is taking it out on these people. It looks credible, though, and if its true, than the anony June 15, 2007 9:56:00 AM EAT up top is right, we are getting shafted!
ReplyDeleteLet me send you the copy that I got......
kinachozungumzwa ama kushangaza hapa ni kupanda kwa kodi ya mafuta pia hii italeta inflation ya ajabu sana maana kila kitu kinaguswa hapa hata nyanya sokoni zinaguswa maana lazima usafiri kwa njia moja ama nyingine utathiri bei, hilo ni lakwanza na la pili nakubaliana kabisa na serikali kwa kuongeza kodi kwenye magari labda wazo lao ni kupunguza ongezeko la magari lakini wasisahau imefikia wakati hiyo ndio means of transport pekee kuu na ambayo haina usumbufu kwa jiji la dsm kwani public transport ni poor mno, nani unadhani anapenda kugombania madaladala? samahani sana wadau naomba kutolea mfano wa nchi ambayo wali/wanatumia njia hii kama UK, Katika nchi gari sio ufahari ila njia ya usafiri mojawapo kuna vitu kama road tax, insurance, Mot yaani gharama kibao zimewekwa humo ili hali ku-discourage lakini wamefanikiwa kwa sababu kuna several means of transport kama tube, train na coaches na hata ukitumia gari na na mwingine akapanda train/ tube / bus atakayewahi ni wa kutumia means hizo za usafiri na sio gari binafsi kwa mfano kuna zones katika jij la london ambazo zinalipiwa congation fee sasa kwa nini niende na gari wakati nikienda na train liverpool str nawahi na tena silipi congetion fee u see? ila kwa tz bado jamani njia sahihi ni kuboresha kwanza miundombinu kama kwa wenzetu kuna bus lanes ambazo hazina msongamano na definately bus linawahi kuliko usafiri binafsi, serikali iliangalie hili, ilipandisha kodi ya kuingiza magari n wamejionea kuwa watu wapo tayari kukopa ili kununua gari kuepukana na adha ya daladala, natumai kama kina sofia/salam/mahir meghji ama kina ridhiwani/salama kikwete wangekuwa wanatumia madaladala kodi isingepandishwa hv kwa sababu viongozi wao haiwagusi basi wanajiwekea tu maana kila kitu serikali inajiwekea nafuu mfano katika kila kitu wanajiwekea exemption (viongozi) wakati mlalahoi analipa full taxi jamani mxiiiii naipenda Tanzania ila inatuchosha
ReplyDeletehaya ni matokeo ya kuwekana madarakani, unajua kuna wizara zinahitaji mtu awe na upeo na ufahamu ama profession na hicho kitu, kwa mfano tuzungumie kama kina mramba wao walikuwa kweli wana elimu na uwezo plus upeo ila leo eti zhakia meghji? huyu mama ambaye aliwekwa katika wizara kwa kuwa alikuwa akilala na vigogo? yeye Nagu na hata Shani wote waliwekwa kama starehe za vigogo leo wnapewa wizara nyeti kama za fedha? na mpaka wakadevoce kwenye ndoa zao ila magazeti yanaogopa kutoa ukweli huu, fuck it! sasa Jakaya we saw ur taget man, this is what u used to call maisha bora kwa mtanzania,unajua mimi kusema ukweli sijaona hata moja ambalo serikali yako imelifanya zaidi ya visasi majungu na unafiki plus urafiki, unawaweka viongozi kwa urafiki na kulipa fadhila, toka umeingia serikali njaa imeongezeka watu wanakufa kwa njaa kila leo huko vijijini, maji hamna, umeme ndio kabsaaa, miundombinu ni kugombania nyumba yaani ni more than poor, uchumi umedidimia na bado unaruhusu unyonyaji kwa mtanzania....
ReplyDeleteSidhani kama inategemea ushuru kukuza uchumi, kuna ishu nyingi mno ambazo ambazo zinafungiwa macho ambazo zinaweza kuongeza uchumi kama madini, uvuvi, gas, utalii, mafuta, bandari na mambo mengi tu au kwa kuwa mna 10%? ila wewe mpuuzi unakimbilia ushuru, hatukatai ni njia moja wapo ya makusanyo lakini ni vipi unatuhakikishia hayatoshi ilihali kila siku mnazisifu manispaa kwa makusanyaji makubwa? hayo makusanyo yanaenda wapi? kweli haya ni maisha bora kwa mtanzania...
Ukiweza kukubali na kuelewa kuwa gari ni expense ktk bajeti zako ,then unaweza kufanya maamuzi sahihi.
ReplyDeleteHaina tatizo kuwa na gari ishirini kama una hela, na haitakuathiri kiuchumi .
Hapa kinachotaka kufanyika ni kuwa walalahoi tufanye kazi wao wale tu. Wameona wanatukata pesa kibao lakini tunaishi na kuendelea vizuri pamoja na kuwa siyo wanasiasa sasa wanatubana kama unakagari wanahakikisha unafirisika tu wao wanaendelea kuwa na VX zinalipiwa na sirikali tu.
ReplyDeleteUnajua baadhi ya watanzania wameelimika ya kutosha wanajua mnafanya nini. Endeleeni wazee. Tufanye kazi mgawane pesa kupitia tenda sasa za barabara.
Tunaelewa hali mbaya ya maisha, na upeo mdogo wa walio wengi Tanzania. Kama tungefahamu kulipa tax ni kwa manufaa yetu sisi wenyewe tusingekua tukilia, cha umuhimu ni nini hizi tax zinafanya kuboresha maisha yetu. Tumekua tukitegemea wazamini kutoka nje toka tupate uhuru, sasa hii bajeti inataka sisi wananchi tujitegemee,sio bajeti za ushabiki na zakuomba kura ambazo mwisho wake hazitusaidii chochote, matunda ya bajeti hii hatuwezi kuyaona sasa kutokana na upeo mdogo. Ndio maana elimu imewekwa kwanza, elimu inatumika kila mahali, kilimo, biashara, uongozi nk. Tuwache malumbano yasio na maana. Hii bajeti haikutengenezwa na mtu mmoja (meghji au Raisi wetu). Chuki binafsi za watoto Riwadhi, Salima, salama zinatoka wapi, na zitatusaidia nini katika maendeleo ya mtanzania
ReplyDelete