
wadau wa idhaa ya kiswahili ya bbc toka shoto hassan mhelela wa kwanza kushoto; said mayanja (mwanafunzi wa udaktari); abdallah majura na salim jumbe (mwanafunzi wa maswala ya utalii); wakishuhudia maandalizi ya ufunguzi wa mashindano ya mataifa ya afrika; algiers nchini algeria: tanzania inawakilishwa na wachezaji 21.jamaa watakuwa wakituletea ndogo ndogo kutoka huko. stori ya timu ya bongo bofya hapa
Mbona kiwanja kitupu kabisa?
ReplyDeleteAnony hapo umeambiwa wako kwenye maandalizi na sio mashindano. can't you read?
ReplyDelete