Home
Unlabelled
meeaaaooowwww
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Maggid
ReplyDeleteNimefurahishwa na mtundiko wako kuhusu jamaa anayekuja na jina la Ngono. Kwa kweli huyu mtu ni mharibifu sana. Maana amekuwa akienda kwenye site za watu na kutundika link za ngono. Watu walimpigia sana kelele naye akawa anatoa matusi kuwa anayetaka asiingie kwenye site yake. Bloggers kibao walikuwa wanamkumbatia huyu, maana alikuwa anaweka link zake humo nao wanafurahi. Bloggers kama Chemi alikuwa naye sana huyu.
Big Up Wewe na Michuzi, ingawa naye Michuzi aliteleza maana last week alifanikiwa kupost link yake kwake.
Hapo nakupa tano na hesima ya kijiji milele
Sele
Kaka
ReplyDeleteNimefurahishwa na mtundiko wako kwa Maggid kuhusu jamaa anayekuja na jina la Ngono. Kwa kweli huyu mtu ni mharibifu sana. Maana amekuwa akienda kwenye site za watu na kutundika link za ngono. Watu walimpigia sana kelele naye akawa anatoa matusi kuwa anayetaka asiingie kwenye site yake. Bloggers kibao walikuwa wanamkumbatia huyu, maana alikuwa anaweka link zake humo nao wanafurahi. Bloggers kama Chemi alikuwa naye sana huyu.
Hapo nakupa Tano na tutaendelea kukutembelea kama kawaida
Sele
Kamkosa panya halisi na sasa kampata "mdogo'ake", ki-mouse!
ReplyDeleteKaadhi kwelikweli
Hmmm! If you have nothing important to say it is better to keep quiet! I don't get the logic of posting that pic on this forum. You need another vacation to Ukerewe or Dumilla.
ReplyDeletehuyu paka ni kinyamkera, toka lini paka akamate mouse. michu unatuletea mambo ya vinyamkera siyo
ReplyDeleteNo, cha kushangaza paka hajapanuwa mdomo, hiyo meaooow anayosema hata mdomo hafungui? pili huyo panya si angelala mbele, kwa kitendo cha mlio wake mmoja tu wa meaaaaaaaaaaoow michuzi acha miyeyu bwana!!!!!
ReplyDeleteBIG UP ANYWAY!
Hi! wewe unaejifanya mzungu kuwa kama Michu hana chakufanya bora anyamaze, nadhani wewe ndio unatakiwa kwenda holiday kwani unaelekea uko very stressed, until you can't understand the joke in it. Chill up take it easy as you are looking at a cartoon.
ReplyDeleteanonymous wa july 12 at 10:57 am Eat. umenichekesha sana tena sana yani wewe unanini hasa ulibukeni au shule hajapanda. yani hujui hata maana ya neno hili meaaaaaooow!! michu kakusudia nini, hata mtoto wachekechea ukimuliza nini maana ya meaaaaaoow!! atakuambia ni paka na hapo michu kamuweka paka na kakusudia paka huyo kanga'ta hiyo mouse na si lazima awe amefungu mdomo wake na kulia neno hilo. hebu kuwa na fikra za kupabanua wewe unatia aibu katika hii blog kuropoka ropoka ovyo kwa vile michu ni mstaarabu ndo maana kakuwekea hii comment yako ili waonya vinywa wenzio tukukosoe na tuona mapungufu yako. kichwa maji weee.
ReplyDelete