ni mdau wa fm academia joseph michael mponezya akiwa na monica leo asubuhi baad ya kufunga pingu za maisha katika kanisa la mtakatifu peter lililopo ostabei

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 14, 2007

    Hongera nyingi sana.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 14, 2007

    Congratulations

    jamani bibie kapendeza. You are a very lucky man. Take good care of her

    ReplyDelete
  3. "thamani ya mutu uwapo na kitu eeh,thamani ya pesa uwapo na pesa eeh...kesho nikifumba macho nitajibu nini eeh mbele ya mola,nitajibu nini mbele ya haki eeh...nilidharau maskini..."


    Hongera sana Jose Mara.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 15, 2007

    CONGRATS SHOSNE.....MMENOGA.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 15, 2007

    Sasa huyu ni mkata viuno wa Ngwasuma au ni mpiga bass? hebu tueleze tuelewe ni nani huyu.Nakumbuka jina Mponesya toka Obay Primary school ,je ni uhusiano wowote?

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 15, 2007

    kila lenye kheri uisha na kheri!hongera jose,nawatakieni ndoa yenye furaha!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 15, 2007

    AAAAhh Jose Mara shule ya Nyoshi!!! kijana ana kipaji kikubwa saaana nani kijana safi, tunza na kumheshimu mkeo na tunza na kuheshimu fani yako inshaallah utafika mbali!!! Chief Burito!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 15, 2007

    Ah kusema ukweli hawa maharusi wazuri jamani, na wamependeza kisawasawa! Mungu awape furaha na upendo katika maisha yenu ya ndoa.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 16, 2007

    Mpemdeza sana.
    Dada ndoa sio vazi jeupe, ndoa ni kuajibika, kumtunza mume na kumpenda.
    Kaiz ya mumeo waijua sasa , usinune akichelewa kurudi, kubali yote.
    Hongera zenu.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 16, 2007

    Congratulations!
    Mmependeza sana. Hongereni nawatakia maisha mema ya mafanikio.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 16, 2007

    kila la kheri...............ila kuweni makini maana wote hapo mhhhhhhhhhhhhhhhhh

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 16, 2007

    Kwa ANONNY -July 15, 2007 9:02:00 AM EAT,

    Nadhani kina Mponezya unaosema wewe ni kina Ally Mponezya, walikuwa wanakaa nadhani TIRDO estate ya kule bondeni....Sasa sijui huyu ni ndugu yao??? Anaye jua kama ni wao naomba info.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 18, 2007

    Jose you got a damn good wife man I know Monica from way back she is down to earth ya take care of her real good, she is cool. Monica I wish you all the best welcome aboard hoping to hear a lot good news and a lot of twins hahahah well just kidding!! Hey ya all look good!

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 18, 2007

    HONGERA SANA MONICA..........

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...