Home
Unlabelled
hayawi hayawi....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera nyingi sana.
ReplyDeleteCongratulations
ReplyDeletejamani bibie kapendeza. You are a very lucky man. Take good care of her
"thamani ya mutu uwapo na kitu eeh,thamani ya pesa uwapo na pesa eeh...kesho nikifumba macho nitajibu nini eeh mbele ya mola,nitajibu nini mbele ya haki eeh...nilidharau maskini..."
ReplyDeleteHongera sana Jose Mara.
CONGRATS SHOSNE.....MMENOGA.
ReplyDeleteSasa huyu ni mkata viuno wa Ngwasuma au ni mpiga bass? hebu tueleze tuelewe ni nani huyu.Nakumbuka jina Mponesya toka Obay Primary school ,je ni uhusiano wowote?
ReplyDeletekila lenye kheri uisha na kheri!hongera jose,nawatakieni ndoa yenye furaha!
ReplyDeleteAAAAhh Jose Mara shule ya Nyoshi!!! kijana ana kipaji kikubwa saaana nani kijana safi, tunza na kumheshimu mkeo na tunza na kuheshimu fani yako inshaallah utafika mbali!!! Chief Burito!
ReplyDeleteAh kusema ukweli hawa maharusi wazuri jamani, na wamependeza kisawasawa! Mungu awape furaha na upendo katika maisha yenu ya ndoa.
ReplyDeleteMpemdeza sana.
ReplyDeleteDada ndoa sio vazi jeupe, ndoa ni kuajibika, kumtunza mume na kumpenda.
Kaiz ya mumeo waijua sasa , usinune akichelewa kurudi, kubali yote.
Hongera zenu.
Congratulations!
ReplyDeleteMmependeza sana. Hongereni nawatakia maisha mema ya mafanikio.
kila la kheri...............ila kuweni makini maana wote hapo mhhhhhhhhhhhhhhhhh
ReplyDeleteKwa ANONNY -July 15, 2007 9:02:00 AM EAT,
ReplyDeleteNadhani kina Mponezya unaosema wewe ni kina Ally Mponezya, walikuwa wanakaa nadhani TIRDO estate ya kule bondeni....Sasa sijui huyu ni ndugu yao??? Anaye jua kama ni wao naomba info.
Jose you got a damn good wife man I know Monica from way back she is down to earth ya take care of her real good, she is cool. Monica I wish you all the best welcome aboard hoping to hear a lot good news and a lot of twins hahahah well just kidding!! Hey ya all look good!
ReplyDeleteHONGERA SANA MONICA..........
ReplyDelete