Home
Unlabelled
mwl. mazara
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
pole sana mwalimu, mimi nakukumbuka sana maana ulishawahi kunirarua bakora pale jitegemee secondari kwa fabian massawe,duh hii ni jinsi mbaya sana yakukumbuka lakini ndo hivyo tena.
ReplyDeleteHuyo Mazala amekufa mwenyewe au ni nini? Mbona habari haina kichwa wala miguu
ReplyDeleteMichuzi na wee ....kama hufanyi uandishi wa habari bwana. Huyo mwalimu mazara ni nani na ninani alifariki. Sometimes unaweka vitu na kuweka maelezo nusunusu na kuassume kuwa wote tunamjua huyo mtu uliyemweka kwenye picha.
ReplyDeleteHabari ni kama kuwafundisha watotot wadogo unaasume hawajui chochote.
Nilisikitishwa na kifo cha huyo mtoto aliumwa nini mda wote huu?Tnaomba picha yake.
ReplyDeleteDah,mwalim Mazara namkumbuka sana miaka ya 89-92 Mwembeni Primary Musoma. Kakucharaza viboko sana kiumbe huyu, kumbe bado anaishi!
ReplyDeleteKatu-treat kijeshijeshi mno na kusababisha baadhi yetu kuchukia na wengine kuacha shule, Any way its time to move on, lets forget the past!
MICHUZI ALITUHABARISHA KAMA WEEK MBILI ZILIZOPITA KWAMBA HUYO MAZARA AMEFIWA NA MTOTO WAKE NADHANI ALIKUWA NA MIAKA KAMA 10 HIVI UKO MAREKANI.NILIVYOELEWA MIMI HIYO NISIKU YA MSIBA
ReplyDeleteMtoni kweli si mchezo, Mazara kanawili!
ReplyDeletepoleni sana!
ReplyDeleteMIchuzi , je fani yako umesomea au ni kwamba chuo ulichosomea ni hakina hadhi? ,hebu jaribu kurekebisha makosa yako kama kweli ni msomi ,sikiliza malalamiko ya watu kuhusu uhabarishi wako, kwakweli inaonyesha ni hauko makini au ni kwamba hukusoma. tafadhali rekebisha tatizo hilo.
ReplyDeleteMichuzi anaendesha hii blog yake kama soap opera. Yaani ukimisss siku moja basi tena.
ReplyDeleteWewe watu wanalalamika kila siku mbona habari zako nusu nusu?
Unajua ni heri uweke habari mbili kwa siku ziwe na maelezo hakika kuliko kuweka habari 10 ziwe na maelezo yasiyo kamilika.
I do appreciate vyote unavyofanya lakini haya ni maoni yangu.
Ok.
ReplyDeleteAliyefiwa na mwanawe ni Kennedy Mazara(safu ya mbele katikati) ambaye ni kaka yake na Patrobah. Aliyefariki ni binti yao Shamsa.
Mola alitoa na mola alitwaa jina lake litukuzwe.
Nikiwa nimekosea nisahihishwe!
Mjomba Zoolo lee
mwalimu
ReplyDeletesiku tukikutana lazima nikwambie kwamba uliokosea sana kutuchapa fimbo kama wanyama maana hukutuadabisha bali ulituwekea woga na kutufanya tusijiamini,in short bakora zako did not serve the intended purpose.