Home
Unlabelled
ohoooo....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duuh dereva wa daladala amekipaka sijui kama hadi leo ajafika segerea.
ReplyDeleteHe he heeeee! Hii ni noma, noma, nomaaa! Yaani hata sipati picha huyu dereva wa daladala yuko katika hali gani baada ya hii balaa. unagonga chombo cha dola? O'C-Sinza.
ReplyDeleteAroo angaria reseni yake..hiri rijamaa rina Bima..pereka sero kwanza harafu kesi ritasomewa mwaka keshokutwa..
ReplyDeleteahahah hii mbaya wazee, ilinitokeaga kama sikosei ni 2001, napiga msele na pikipiki maeneo ya sinza karibu na kwa Charles Hilary nilikuwa naelekea Mbezi, duh ee bwana wakati najaribu kukwepa mashimo nikakutana uso kwa uso na kigofu cha police...duh husiombe kujua iliyonipata....jamaa maaskari 3 kutoka nje tu badala ya kuwa wastaarabu kujua kama nimeumia au la, jamaa wakanibeba juu, karibu mtama chini? jamaa anagangania kuweka pikipiki kwenye boneti ya gari? tangu lini pikipiki ikaenea kwenye boneti...bembeleza tu jamaa wakaanzia toa 50,000/= duh mzee nina 5000 kwenye mfuko......mpaka wanachukua 5000 ilikuwa kufa mtu...from then hawa jamaa wa bongo wananiachaga hoi...potelea mbali sirudi tena bongo hhehehe!!!
ReplyDeletewe anoni wa July 14, 2007 5:12:00 AM EAT, nimeshindwa kujua kama wewe msukuma au mhaya:
ReplyDeleteilinitokeaga - kisukuma
husiombe - kihaya
anagangania - bishanga bashaija (kihaya)
wananiachaga - kisu(sitoandika maana ni tusi kwa kiswahili).
Sipati Picha huyo dereva wa hilo daladala yupo ktk hali gani sasa hivi nikiwa na-type haya maoni.
ReplyDeletembaya zaidi kama udereva wake uwe na kasoro yoyote au gari lake liwe na kasoro.
hao askari wa doria wa pikipiki wanaitwa TIGO.