Home
Unlabelled
tx
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
AAAH HUYU JAMAA NAMKUMBUKA KTK KIJIWE CHA EMPRESS, DUH NAONA AMEZEEKA SANA.
ReplyDeleteWHOOU HAPPY BIRTHDAY TO YOU, HUYU BABA KAMA NIMESHAWAHI KUMUONA MAENEO YA MILLS, PAMBA STREET NYUMA YA AFRICAN HOTEL KUNA KIPINDI NILIWAHI SIKIA KUWA ALIFIWA NA MKEWE (SINA UHAKIKA KAMA SI KWELI NAOMBA ANISAMEHE). BEANA MICHUZI KAMA NIMEKOSEA LABDA MKEWE BADO YUKO HAI MNISAMEHE, HONGERA KWA KUJALI WATOTO MUNGU AKUZIDISHIE KILA LA KHERI WEWE NA WATOTO WAKO.
ReplyDeleteKhaa!
ReplyDeleteKaka Michuzi hao ni mai watoto wake au wajukuu? Kama huyo aliyem-beba!
Yaani mpaka umri huo bado ana watoto wadogo hivyo! Si kuwatafutia shida tu ya maisha yao ya baadae jamani!
Laif ekspektans yenyewe ya wabongo ni miaka 55. Mweeh!
Wabongo bwana!
Huyu bwana namkumbuka sana alikuwa ni mmoja wa shabiki mkubwa wa black wizard maeneo ya morocco
ReplyDeleteMshikaji kachelewa domo lilikuwa zege. Sasa kambabatiza mtu ndio hadi kutotoa. Ila ndio hivyo inaonekan chumvi umeshalamba sana, lakini swala la watoto naona halina kama umelamba chumvi sana au la kama unaweza kuwatunza poa.
ReplyDeleteDuuh huyu baba mtu mimi kama namjua kama ni yeye basi alikuwa ktk kundi la muchacho wapiga kidedea wa simba sports club.
ReplyDeletewe ano hapo juu 4:19 acha kashfa za uzee umeambia tx mzee nikijana tu may be in his late forties we baba yako alikuzaa ukiwa na umri gani? acha hizo keep up tx mzee wa kinondoni
ReplyDeleteWeee perez jinga kabisa,pumba tupu zimejaa kichwani eti wajukuu???tuulize sisi tulioko huku ughaibuni watu wanapata watoto wakiwa na umri gani.PM Gordon brown ana watoto hata hao hapo ni wakubwa ajabu,halafu unamkatisha tamaa mshikaji wa watu bado yuko pima kabisa.kuna mama huku wanazaa wana 50's hadi juzi alivunja recodi na 60's.Kama huna cha kuongea funga hilo domo huwezi jua hata mswaki hujapiga.period.
ReplyDeleteAnony wa hapo juu. Soma vizuri. Nimetoa angalizo la "life expectance" lakini.
ReplyDeleteWe unatupa mifano ya wazungu, lakini unasahau kabisa kwamba "life expectance" ya wenzetu wazungu iko juu kuliko ya sisi wabongo. Anaweza "kuwaacha" hao watoto bado wakiwa wadogo sana. Allah Akbar, Inshallah!
Baba yangu mimi alizaa mtoto wake wa kwanza akiwa na miaka 23 na alimalizia mtoto wake wa mwisho akiwa na mika 31 kwa kipimo cha kupishana miaka miwili miwili kila mtoto.
HAWA WATOTO NI WANGU NAOGOPA CHILD SUPPORT JAMAA AKIPIMA DNA ATAGUNDUA NI WANGU. ACHA AWE MUME BWEGE CHEKI TULIVYO FANANA.. NA HAO WATOTO NASUBIRI WAKUE NIRUDI MAREKANI KUWADAI/KUNYANG`ANYA HUYU BABU.
ReplyDelete