Home
Unlabelled
ubungo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
saafi nmna hiyo. Na foleni iendelee hata wakati wa kupanda kwenye daladala maana pia kuna uhaba.
ReplyDeletehivi hawawezi kuweka lami maana hizo vumbi ni balaa na sitoshangaa kama hakuna vyoo au kama vipo ni vichafu ile mbaya..na kwa nini watu wanakaa nje na jua lote lile.
ReplyDeleteChina wamemuexcute mkuu wa FDA kwa kula rushwa na kusababisha kupitisha dawa fake ikaua watu kama 10 na alipokea rushwa ya $850,00 tu.
ReplyDeleteHii nayo ingeingia TZ viongozi wote wanaokula rushwa na kuacha mabasi yanaua watu kila siku tia kitanzi.
Viongozi wanaokula hela za madawa ya malaria na vyandarua vijijini tia kitanzi.
Wanao kula hela za visima watu wanakufa na magonjwa kwa kutokupata maji safi tia kitanzi.
Wanaopitisha contract za ajabu ajabu tia kitanzi.
Wanaoachia majambazi wapate bunduki na kuua kila siku tia kitanzi.
Majudge wanaofavor matajiri au raia wakuhamia tia kitanzi
Wao watu kumi tu wamemuondoa jamaa sisi kwetu tunaangaliana tu tunavyopoteza ndugu kila siku na maajali ya mabasi barabarani. Kisa hamna anayefuatilia ukaguzi wamagari au madereva.
Bila hilo kweli hatutafika popote lakini kumbuka soul zote ni sawa hata kama ni mtoto au maskini.