Home
Unlabelled
afandezzzzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii ni Bongo au?
ReplyDeleteJamani aarufonso vipi tena!Naona kitambi kinaonyesha umuhimu wa kudai maslahi kutoka kwa walalahoi na wadanganyika.Kisha Kaka michu eh, si nadhani huo mguu wa kuku unatakikana kuhifadhiwa katika mkoba wake(holster)maalumu? Jamaa kaitia mumo kwa mumo ndani ya chupi ya kina kaboka mchizi.Jamani Afrika kudadeki!Ikifyatuka je? Kazi ipo hapo.
ReplyDeleteTitcha.
Duh, nimekubali hilo ni tumbo au pakacha? Acha majambazi watese, hivi kweli kwa mtumbo huo atafanya ulinzi gani?????
ReplyDeleteHizo si uniform za askari wa Bongo.
ReplyDeletekaaaaaaaaaaaaazi kweli kweli,shauri ya mlungula nini?
ReplyDeleteMpeleke haraka chooni akanye huyo.Mavi yamejaa kwenye hilo tumbo.
ReplyDeletehiro ni riporisi ra uganda murawangu.
ReplyDeleteBasi kama ndio askari kajiachia hivyo anaua profession hata ikitokea zari hataweza kuzui- do excise and get to soldier's form you guy
ReplyDeleteKumbe polisi wa nchi nyingine wana masirahi kweri!
ReplyDeleteLakini mmeangalia hapo kwenye sehemu ya zipu ya suruali kuwa pameinuka? Jamaa anawazia nini au anaangalia nini mpaka ikawa hivyo?
ReplyDeletePicha ya huyo afande,kama ni afande kweli kweli,inatoa maoni TOSHA!!
ReplyDeleteMwenyewe akiulizwa anafaa bado kubaki kazini!!
Awaache wafanyao kazi wafanye kazi.Yeye akapumzike jikoni kwake.
Nimeamini wanablogu wako Michuzi wengi ni wajinga na vipofu.
ReplyDeleteHuyo askari ni askari mwanamke mwenye mimba.Sasa mbona wanablogu wako wanashambulia hiyo mimba? Kwani matumbo ya mama zao yalikuwa flat wakati wakiwa na mimba?
Acheni kumwonea Mama Askari wa watu.
Somo Ukimwi 'mbado' kueleweka
ReplyDeleteAidha uvumi huu si kama ilivyoandikwa na vyombo vya habari, vinginevyo mapambano ya kutokomeza Ukimwi nchini yana walakini mkubwa.
Vyombo hivyo vya habari vimeripoti kuwa wakazi wa vijiji vya Ruvu-Mferejini na Jitengeni katika wilaya ya Same -K'njaro, wanajirusha kwa kutumia mifuko ya plastics kama kinga ya kuzuia ukimwi.
Mtaalam mmoja muamasishaji Abel Philipo amesema kuwa katika safari zake za kuhamasisha wakazi hao amekuwa akikumbana na vituko hivyo huku wengine wakitumia kondomu kisha kuziosha na kuanika na kuzitumia tena.
Baadhi ya maeneo wanayoshindwa kumudu bei ya kondomu ya kati ya sh. 200 na 300, wamekuwa wakitumia mifuko ya nailoni kwa kujifunga kwenye uume na kitumia kama kinga.
Philipo alisema kuwa waathirika wengi ni vijana wa kati ya miaka 15 hadi 30 na kasi ya kuongezeka kwa ugonjwa huo imepanda kutoka asilimia 5.4 hadi kufikia 7.2 kwa mwaka huu, kulingana na takwimu zilizotolewa na Mkuu wa Wilaya hiyo Ibrahim Marwa.
Wengi wa wakazi hao ni wa jamii ya kimasai na mmoja wao Esta Vasheti alisema kuwa hata ile tabia chafu ya mwanamme kuchomeka mkuki kwa nje ya nyumba ya rafiki yake na kufanya mapenzi na mke wake bado inaendelea.
Wabongo bado tu tunafikiria kitambi ni kuwa na hela!!! Kitambi ni ugonjwa na kuonesha jinsi gani hujali afia yako sio masifa tena kama zamani.
ReplyDeleteI cant believe none of the pple commented here couldnot figure out that the image is doctored. Kazi maboksi tu nendeni shule !!!!!
ReplyDeleteSio mchezo rushwa imemkubali afande,
ReplyDeletehii noma ndugu yangu. huyo si askari. askari apaswi kuwa hivyo.
ReplyDeleteHii ni edited photo ...though unene huu uko sana tu na watu bado wana believe kuwa kitambi ni hela kumbe ...ni kutokua na afya....
ReplyDeleteWatu wanene kama hawa hawwali majani...wanadhania ni umasikini kumbe ni afya njema...mbuzi kuku na pork za kuchoma zote zinahamia tumboni...
Lishe bor ani muhimu kwa taifa letu
mchicha bila mafuta hauliki bongo ..unaitwa masikini...
anony 6:47 toa pumba hapa ...yaani hata kuangalia picha inahitaji elimu...inaelekea elimu yako huitumii ipasavyo...use your common sense my dear......this picture is just for awareness whether is edited or not who cares a lesson taught
ReplyDeletejinga kubwa
ISSA UNAFAHAMU FIKA KUTUMIA SOFTWARE ULIZOKUWA NAZO MUHIMU, LAKINI NAMKUMBUKA ASKARI MMOJA ALIKUWA ANAITWA (MAYENU)ALIKUWA MAENEO YA UBUNGO, HANATOFAUTI KUBWA NA HUYU MHESHIMIWA...HUKU UGHAIBUNI WAPO UKIANGALIA BULET PRUFU ZAO (MBAVU ZITAKUUMA)NITAKULETEA PICHA MICHUZI.
ReplyDeleteHiro ni li cop la marekani baada ya chees burgers at MCD.Not Tanzanian
ReplyDeleteYuyo sio polisi mnugu kweli.Bongo polisi wakakmavu mbona.Wadau tuambiane.Alafu he got a hard on too,no way
ReplyDeleteDuh! anony wa 6:47 ana phD ya kuangalia picha ha ha ha, inawezekana kuwa umesoma sana anony, lakini ni dhahiri kuwa hukuelimika.
ReplyDelete