Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. Hii ni Bongo au?

    ReplyDelete
  2. Jamani aarufonso vipi tena!Naona kitambi kinaonyesha umuhimu wa kudai maslahi kutoka kwa walalahoi na wadanganyika.Kisha Kaka michu eh, si nadhani huo mguu wa kuku unatakikana kuhifadhiwa katika mkoba wake(holster)maalumu? Jamaa kaitia mumo kwa mumo ndani ya chupi ya kina kaboka mchizi.Jamani Afrika kudadeki!Ikifyatuka je? Kazi ipo hapo.
    Titcha.

    ReplyDelete
  3. Duh, nimekubali hilo ni tumbo au pakacha? Acha majambazi watese, hivi kweli kwa mtumbo huo atafanya ulinzi gani?????

    ReplyDelete
  4. Hizo si uniform za askari wa Bongo.

    ReplyDelete
  5. kaaaaaaaaaaaaazi kweli kweli,shauri ya mlungula nini?

    ReplyDelete
  6. Mpeleke haraka chooni akanye huyo.Mavi yamejaa kwenye hilo tumbo.

    ReplyDelete
  7. hiro ni riporisi ra uganda murawangu.

    ReplyDelete
  8. Basi kama ndio askari kajiachia hivyo anaua profession hata ikitokea zari hataweza kuzui- do excise and get to soldier's form you guy

    ReplyDelete
  9. Kumbe polisi wa nchi nyingine wana masirahi kweri!

    ReplyDelete
  10. Lakini mmeangalia hapo kwenye sehemu ya zipu ya suruali kuwa pameinuka? Jamaa anawazia nini au anaangalia nini mpaka ikawa hivyo?

    ReplyDelete
  11. Picha ya huyo afande,kama ni afande kweli kweli,inatoa maoni TOSHA!!
    Mwenyewe akiulizwa anafaa bado kubaki kazini!!
    Awaache wafanyao kazi wafanye kazi.Yeye akapumzike jikoni kwake.

    ReplyDelete
  12. Nimeamini wanablogu wako Michuzi wengi ni wajinga na vipofu.

    Huyo askari ni askari mwanamke mwenye mimba.Sasa mbona wanablogu wako wanashambulia hiyo mimba? Kwani matumbo ya mama zao yalikuwa flat wakati wakiwa na mimba?

    Acheni kumwonea Mama Askari wa watu.

    ReplyDelete
  13. Somo Ukimwi 'mbado' kueleweka
    Aidha uvumi huu si kama ilivyoandikwa na vyombo vya habari, vinginevyo mapambano ya kutokomeza Ukimwi nchini yana walakini mkubwa.

    Vyombo hivyo vya habari vimeripoti kuwa wakazi wa vijiji vya Ruvu-Mferejini na Jitengeni katika wilaya ya Same -K'njaro, wanajirusha kwa kutumia mifuko ya plastics kama kinga ya kuzuia ukimwi.

    Mtaalam mmoja muamasishaji Abel Philipo amesema kuwa katika safari zake za kuhamasisha wakazi hao amekuwa akikumbana na vituko hivyo huku wengine wakitumia kondomu kisha kuziosha na kuanika na kuzitumia tena.

    Baadhi ya maeneo wanayoshindwa kumudu bei ya kondomu ya kati ya sh. 200 na 300, wamekuwa wakitumia mifuko ya nailoni kwa kujifunga kwenye uume na kitumia kama kinga.

    Philipo alisema kuwa waathirika wengi ni vijana wa kati ya miaka 15 hadi 30 na kasi ya kuongezeka kwa ugonjwa huo imepanda kutoka asilimia 5.4 hadi kufikia 7.2 kwa mwaka huu, kulingana na takwimu zilizotolewa na Mkuu wa Wilaya hiyo Ibrahim Marwa.

    Wengi wa wakazi hao ni wa jamii ya kimasai na mmoja wao Esta Vasheti alisema kuwa hata ile tabia chafu ya mwanamme kuchomeka mkuki kwa nje ya nyumba ya rafiki yake na kufanya mapenzi na mke wake bado inaendelea.

    ReplyDelete
  14. Wabongo bado tu tunafikiria kitambi ni kuwa na hela!!! Kitambi ni ugonjwa na kuonesha jinsi gani hujali afia yako sio masifa tena kama zamani.

    ReplyDelete
  15. I cant believe none of the pple commented here couldnot figure out that the image is doctored. Kazi maboksi tu nendeni shule !!!!!

    ReplyDelete
  16. Sio mchezo rushwa imemkubali afande,

    ReplyDelete
  17. hii noma ndugu yangu. huyo si askari. askari apaswi kuwa hivyo.

    ReplyDelete
  18. Hii ni edited photo ...though unene huu uko sana tu na watu bado wana believe kuwa kitambi ni hela kumbe ...ni kutokua na afya....

    Watu wanene kama hawa hawwali majani...wanadhania ni umasikini kumbe ni afya njema...mbuzi kuku na pork za kuchoma zote zinahamia tumboni...

    Lishe bor ani muhimu kwa taifa letu

    mchicha bila mafuta hauliki bongo ..unaitwa masikini...

    ReplyDelete
  19. anony 6:47 toa pumba hapa ...yaani hata kuangalia picha inahitaji elimu...inaelekea elimu yako huitumii ipasavyo...use your common sense my dear......this picture is just for awareness whether is edited or not who cares a lesson taught

    jinga kubwa

    ReplyDelete
  20. ISSA UNAFAHAMU FIKA KUTUMIA SOFTWARE ULIZOKUWA NAZO MUHIMU, LAKINI NAMKUMBUKA ASKARI MMOJA ALIKUWA ANAITWA (MAYENU)ALIKUWA MAENEO YA UBUNGO, HANATOFAUTI KUBWA NA HUYU MHESHIMIWA...HUKU UGHAIBUNI WAPO UKIANGALIA BULET PRUFU ZAO (MBAVU ZITAKUUMA)NITAKULETEA PICHA MICHUZI.

    ReplyDelete
  21. Hiro ni li cop la marekani baada ya chees burgers at MCD.Not Tanzanian

    ReplyDelete
  22. Yuyo sio polisi mnugu kweli.Bongo polisi wakakmavu mbona.Wadau tuambiane.Alafu he got a hard on too,no way

    ReplyDelete
  23. Duh! anony wa 6:47 ana phD ya kuangalia picha ha ha ha, inawezekana kuwa umesoma sana anony, lakini ni dhahiri kuwa hukuelimika.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...