
GWIJI LA SANAA NCHINI MZEE GODWIN KADUMA (WA PILI KULIA WALIOKAA) HATUNAYE TENA.
HABARI ZILIZOTUFIKIA SASA HIVI NI KWAMBA MZEE KADUMA AMEFARIKI MCHANA HUU KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI ALIKOLAZWA KWA MUDA.
MZEE KADUMA ATAKUMBUKWA SIO TU KWA UMAHIRI WAKE KATIKA KUIGIZA BALI PIA AMEWAHI KUWA MKURUGENZI WA SANAA NA LUGHA KATIKA WIZARA YA UTAMADUNI NA MICHEZO, NA PIA ALIKUWA MSTARI WA MBELE KATIKA KUENDELEZA SANAA NCHINI.
PICHANI MZEE KADUMA AKIWA KAMA MKURUGENZI WA LUGHA NA SANAA AKIPOZI NA HAYATI MOSES NNAUYE NA BARAZA LA KWANZA LA MUZIKI WA DANSI ALMAARUFU KAMA CHAMUDATA MWAKA 1988 OFISI ZA BARAZA LA SANAA ILALA SHARIFF SHAMBA.
Poleni sna wanasanaa wote wa Tanzania kwa msiba huu pia familia ya mzee Kaduma, Siuongo mzee wetu huyu amechangia sana maendeleo ya sanaa nchini kwetu. Mwenyezi Mungu ampumzishe pema peponi-Mlewa-Uk
ReplyDeleteVAA NGUO **NYEKUNDU** KESHO ISHARA YA
ReplyDeleteKUUNGA MKONO HARAKATI ZA KUTETEA
WATU WA BURMA.
In support of our incredibily brave friends in Burma.
May all people around the world wear a red shirt on friday,September 28(kesho)Please tell others.
Kwa kufanya hivyo namna moja au nyingine na wewe unakuwa unashiriki katika kutetea haki za rai na kuunga mkono ngumu ya umma.
Kwa kufanya hivyo utakuwa umesaidia na kushiriki.
Naomba kuwasilisha.
du, alikuwa mkuu wa chuo miaka ya tisini enzi zetu pale bagamoyo college of arts...rip mzee kaduma
ReplyDeletePoleni kwa kufikwa na msiba huu ndani ya mwezi mtukufu, Mwenyezi Mungu awajaalie ndugu, jamaa, marafiki, wasanii, wapenzi wa kazi zake uvumilivu ktk wakati huu mgumu.
ReplyDeleteTulimpenda lakini Mungu alimpenda zaidi hivyo hatuna buni kushukuru badala ya kulia na kulalamika kwanini?.....amina
Dinah.
He was like a pillar on the centre of a roof of Arts.Tutamkubuka sana kwa mchango wake na busara aliyo kuwa nayo nayo.Kwa ndugu na jamaa poleni sana ingawa maisha lazima yaendelee "it is a path that we all have to follow. Rwambali-Germany
ReplyDeleteNimepokea kwa masikitiko msiba wa mzee wetu mzee GodwinKaduma.
ReplyDeleteTunawaombea wanafamilia,jamaa na marafiki Mungu watie nguvu katika kipindi hiki kigumu walicho nacho.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu Mzee kaduma mahali pema peponi.amina
Machozi juu ya mashavu yangu.Nimesikitika sana.
ReplyDeleteMajita