ukumbi wa diamond jubilee unaomilikiwa na jumuiya ya wahindi ya ismailia ulivyo sasa baada ya kuadhimisha jubilei ya dhahabu ya mtukufu aga khan hivi majuzi. ukumbi huu ndio kitovu cha shughuli za harusi, mikutano na muziki kwa watu wa aina zote bila kujali dini, rangi ama jinsia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Michuzi you are getting cheap now. Hivi umeshawahi kufanya research kuna harusi ngapi zinafanyika kwa mwaka hapa Dar, na kila kumbi huwa inatumika mara ngapi? Au kama zoezi la kupata data za kila kumbi je unajua ni asilimia ngapi ya harusi zote zinazofanyika hapa Dar hutumia huo Ukumbi???

    Ukiangalia siku hizi ukumbi wa WaterFront nafikiri ndio unaongoza (I stand to be corrected maana sina research data pia).

    Eti, "ukumbi huu ndio kitovu cha shughuli za harusi, mikutano na muziki kwa watu wa aina zote bila kujali dini, rangi ama jinsia" Yaani hii ni namna fulani ya kuendelea kumpigia debe Richa wako. Umekula ngapi Mkuu toka kwa Jumuia ya waGoa??

    ReplyDelete
  2. Ukumbi huu ni kitovu cha shughuli za harusi,mikutano,muzuki na sherehe nyingine nyingi bila kujali dini,jinsia ama rangi..Haswaaa..!Kwani ni bure?Hizo hushughuli humuingizia mmiliki wa jengo hili mapesa tele kwa mwaka!Tukumbuke hayo.

    ReplyDelete
  3. Kaka Michuzi

    Waambie hao wabaguzi wa rangi

    wakitaka hivyo basi mie mtanzania mweusi nitawaunga mkono watanzania wahindi wasiruhusu weusi waingie katika majengo yao au kufanya sherehe

    Maana hawamtaki Miss Tanzania 2007 eti ni mhindi

    Aibu iwajae tele... nendeni mkafungue Ukumbi uwe na status kama ya Diamond Jubilee basi kwa nini bado mtaenda kupatumia

    Ni Mimi

    Mpenda Amani

    ReplyDelete
  4. pelekepeleke nyingiii ?? wewe unayemshambulia michuzi kwa kuufagilia huu ukumbi .............!!!
    TUAMBIE UKUMBI MAARUFU ZAIDI YA HUU HAPA DAR ! MIAKA NENDA RUDI HUU HUU UKUMBI UNATESA. MGENI WA MAMBO WEWE .

    ReplyDelete
  5. chuzi mwambie huyo mpenda amani mzalendo kwa mdosi gani anakofanya kazi?naona mabaki ya kachori yana mzengua.heri mnazi mjomba,amka bro!!!!

    ReplyDelete
  6. chuzi nafikiri jamaa kachori zimemzidia jamaa.wake up broo mtoto wa nyoka ni nyoka tu.(mwambieni huyo mpenda amani.)

    ReplyDelete
  7. michuzi sijaona kule msufini(bonde)mdosi kazaliwa hivyo ni mgeni tu hata kama kazaliwa bongo.mwambieni huyo mpenda amani anialike harusi akiifanya diamond,nitamfungia safari toka uburudani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...