Home
Unlabelled
diamond jubilee
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi you are getting cheap now. Hivi umeshawahi kufanya research kuna harusi ngapi zinafanyika kwa mwaka hapa Dar, na kila kumbi huwa inatumika mara ngapi? Au kama zoezi la kupata data za kila kumbi je unajua ni asilimia ngapi ya harusi zote zinazofanyika hapa Dar hutumia huo Ukumbi???
ReplyDeleteUkiangalia siku hizi ukumbi wa WaterFront nafikiri ndio unaongoza (I stand to be corrected maana sina research data pia).
Eti, "ukumbi huu ndio kitovu cha shughuli za harusi, mikutano na muziki kwa watu wa aina zote bila kujali dini, rangi ama jinsia" Yaani hii ni namna fulani ya kuendelea kumpigia debe Richa wako. Umekula ngapi Mkuu toka kwa Jumuia ya waGoa??
Ukumbi huu ni kitovu cha shughuli za harusi,mikutano,muzuki na sherehe nyingine nyingi bila kujali dini,jinsia ama rangi..Haswaaa..!Kwani ni bure?Hizo hushughuli humuingizia mmiliki wa jengo hili mapesa tele kwa mwaka!Tukumbuke hayo.
ReplyDeleteKaka Michuzi
ReplyDeleteWaambie hao wabaguzi wa rangi
wakitaka hivyo basi mie mtanzania mweusi nitawaunga mkono watanzania wahindi wasiruhusu weusi waingie katika majengo yao au kufanya sherehe
Maana hawamtaki Miss Tanzania 2007 eti ni mhindi
Aibu iwajae tele... nendeni mkafungue Ukumbi uwe na status kama ya Diamond Jubilee basi kwa nini bado mtaenda kupatumia
Ni Mimi
Mpenda Amani
pelekepeleke nyingiii ?? wewe unayemshambulia michuzi kwa kuufagilia huu ukumbi .............!!!
ReplyDeleteTUAMBIE UKUMBI MAARUFU ZAIDI YA HUU HAPA DAR ! MIAKA NENDA RUDI HUU HUU UKUMBI UNATESA. MGENI WA MAMBO WEWE .
chuzi mwambie huyo mpenda amani mzalendo kwa mdosi gani anakofanya kazi?naona mabaki ya kachori yana mzengua.heri mnazi mjomba,amka bro!!!!
ReplyDeletechuzi nafikiri jamaa kachori zimemzidia jamaa.wake up broo mtoto wa nyoka ni nyoka tu.(mwambieni huyo mpenda amani.)
ReplyDeletemichuzi sijaona kule msufini(bonde)mdosi kazaliwa hivyo ni mgeni tu hata kama kazaliwa bongo.mwambieni huyo mpenda amani anialike harusi akiifanya diamond,nitamfungia safari toka uburudani.
ReplyDelete