Home
Unlabelled
kazi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyo mbeba box lazima ni mwizi.Huwezi beba box nchi hii ukawa msafi na mtanashati kama huyo aliyejitwika hilo box.
ReplyDeleteHuyo lazima atakuwa kamwibia huyo mwenye mabox.Kujitwika mabox ni geresha tu.
Nitamwita Tibaigana na TAKURU wamuulize hizo nguo na viatu vizuri katoa wapi? Wakati kipato kinachotokana na hiyo kazi haliwezi kidhi.
Dont be a fool,doesnt mean mtu ukifanya kazi uwe mchafu..heshime kazi inayokuweka ..so mtu akivaa viatu vizuri au vibaya havi kuhusu wewe..wacha afanye kazi ajipatie chake..sasa kama wewe umezoea kwenda mzigo mchafu basi ujue u will get fired..coz usafi ni lazima sehemu za kazi..grow up
ReplyDeleteMdau B/ham
pole mdau, huku kuna tu mashine twa kusaidia saidia.
ReplyDeleteHe teh teeee mabox hayabebwi hivyo huku...heh heheh si tungekua matajiri kweli...hapo najiangusha tu nasema nimeumia shingo then burungutu linakuja tu....duh...kweli hamjui nyie.....box huku wala huligusi ni machine tu ....uliweke kichwani????
ReplyDeleteangalau yeye anakazi, watanzanzia wangapi wanatafuta hata kazi ya kuosha mbwa hawapati ????
ReplyDeleteTofauti ya kubeba box TZ na kupiga Box USA mtaielezea kila kukicha, watanzania tupo slow sana kuelewa.
ReplyDeleteLast month nimekutana na jamaa toka Ireland, alikuwa amevaa jezi ya liverpool , tukaanzia mazungumzo hapo. Anapiga box kama wengine.
Hawa wachovu walio Bongo wasiwababaishe. Wazungu w ulaya wanakuja kufanya kazi USA, sembuse ulie Bongo ????????
kazi kuombaomba hela tu .
Natoka nje ya mada,sorry.
ReplyDeleteBro Michuzi naomba website ya jumuiya ya waBongo waliko Ireland na Italy,ie:kama kuna jumuiya hiyo.
Thank you in advance.