msanii fresh jumbe aishiye na kufanyia kazi zake japan ndiye mgeni wa wiki hii katika mtandao unaokuja juu wa http://www.bongocelebrity.com/ nenda ukamsikilize na yeye mwenyewe anapatikana www.freshjumbe.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. fresh rudi tanzania ujenge nchi

    ReplyDelete
  2. usirud mwanya endelea kula kuku na bata ikiwezekana badilisha na jina

    x_x

    ReplyDelete
  3. Jamani naomba tusaidiane kuhusu hili, hivi Fresh Jumbe ni Bwabwa au? manake hizo pozi zake zinanipa utata kabisa.

    ReplyDelete
  4. Weweeeeee!!! usijaribu. Jamaa ni boxer huyo na hata ukimuona akitembea barabarani, kifua mbele anaonekana kama bouncer. Nikupendeza tu si unajuwa tena wanamuziki.

    ReplyDelete
  5. Unauliza matako ya mbwa wakati mkia unauona

    ReplyDelete
  6. NYIE WABONGO TANZANIA MSIWE WAVIVU WA KUFIKIRIA TANZANIA SIO LAZIMA IJENGWE MKIWA TANZANIA KWANZA WENGI WENU MNABOMOA TU MKIWA HUKO HUKO BONGO.

    ReplyDelete
  7. Kwa vijana mna haki ya kujua mengi juu ya Fresh Jumbe, msiwe wavivu mtembeleeni kwenye website yake kwa habari zaidi.
    Huyu jamaa ni mpiganaji hasa wa maisha kama mwanamuziki. Anatumia kipaji chake na anajituma hasa (kwa watanzania wengi walioko home hawaipati maana halisi ya kujituma)kuhakikisha anapata mafanikio katika kazi zake. kwa sisi baadhi yetu tuliokwisha fika Japan na kuhudhuria show zake utakubali kweli jamaa anafanya kazi hasa.

    Ninamtakia Fresh Jumbe na
    Watanzania wengine wote wanaojituma popote pale walipo wazidi kuitangaza Tanzania yetu na wapate mafanikio zaidi na zaidi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...