

msanii fresh jumbe aishiye na kufanyia kazi zake japan ndiye mgeni wa wiki hii katika mtandao unaokuja juu wa http://www.bongocelebrity.com/ nenda ukamsikilize na yeye mwenyewe anapatikana www.freshjumbe.com
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
fresh rudi tanzania ujenge nchi
ReplyDeleteusirud mwanya endelea kula kuku na bata ikiwezekana badilisha na jina
ReplyDeletex_x
Jamani naomba tusaidiane kuhusu hili, hivi Fresh Jumbe ni Bwabwa au? manake hizo pozi zake zinanipa utata kabisa.
ReplyDeleteWeweeeeee!!! usijaribu. Jamaa ni boxer huyo na hata ukimuona akitembea barabarani, kifua mbele anaonekana kama bouncer. Nikupendeza tu si unajuwa tena wanamuziki.
ReplyDeleteUnauliza matako ya mbwa wakati mkia unauona
ReplyDeleteNYIE WABONGO TANZANIA MSIWE WAVIVU WA KUFIKIRIA TANZANIA SIO LAZIMA IJENGWE MKIWA TANZANIA KWANZA WENGI WENU MNABOMOA TU MKIWA HUKO HUKO BONGO.
ReplyDeleteKwa vijana mna haki ya kujua mengi juu ya Fresh Jumbe, msiwe wavivu mtembeleeni kwenye website yake kwa habari zaidi.
ReplyDeleteHuyu jamaa ni mpiganaji hasa wa maisha kama mwanamuziki. Anatumia kipaji chake na anajituma hasa (kwa watanzania wengi walioko home hawaipati maana halisi ya kujituma)kuhakikisha anapata mafanikio katika kazi zake. kwa sisi baadhi yetu tuliokwisha fika Japan na kuhudhuria show zake utakubali kweli jamaa anafanya kazi hasa.
Ninamtakia Fresh Jumbe na
Watanzania wengine wote wanaojituma popote pale walipo wazidi kuitangaza Tanzania yetu na wapate mafanikio zaidi na zaidi.