Home
Unlabelled
gerezni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
natamani ningekuwa kadege ningeruka nikafika kwetu nyumbani. michu unashukuriwa kwa sana bro kwa kuweka picha hizi na kuvuta hisia zangu za nyumbani..
ReplyDeleteNa hii pia ni Bongo, afadhali umeiweka hadharani, wahusika wataamka na kulishughulikia swala hili, kuliko kuweka mapicha ya sehemu nzuri tu wakati kuna sehemu nyengine hazifai.
ReplyDeleteHio sio ndinga ya Juma necha?
ReplyDeletebongo ni New york.....
ReplyDeletendio yenyewe dinga ya juma necha
ReplyDeleteni kwamba pamechimbwa wanakuja kuweka lami au ni aje, mitaa mingi haina lami but this one! imatifuka mno
ReplyDeletebrandmuge.