ndinga likikatiza mitaa ya gerezani dar ambayo kama ilivyo mitaa mingi ya uswahilini haina lami..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. natamani ningekuwa kadege ningeruka nikafika kwetu nyumbani. michu unashukuriwa kwa sana bro kwa kuweka picha hizi na kuvuta hisia zangu za nyumbani..

    ReplyDelete
  2. Na hii pia ni Bongo, afadhali umeiweka hadharani, wahusika wataamka na kulishughulikia swala hili, kuliko kuweka mapicha ya sehemu nzuri tu wakati kuna sehemu nyengine hazifai.

    ReplyDelete
  3. Hio sio ndinga ya Juma necha?

    ReplyDelete
  4. bongo ni New york.....

    ReplyDelete
  5. ndio yenyewe dinga ya juma necha

    ReplyDelete
  6. ni kwamba pamechimbwa wanakuja kuweka lami au ni aje, mitaa mingi haina lami but this one! imatifuka mno

    brandmuge.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...