mwandishi wa habari wa daily news jiang alipo jana alichukuliwa jumla na mh. sixtus mapunda katika harusi ya kufana ilofanyika kanisa la makuburi mabibo, dar


msanifu wa kurasa na mchoraji katuni mahili wa habari leo na daily news patric eusebio almaarufu kama ziro jana aliamua kuchukua jumla bibie fabian mganda katika harusi ya kukata na mundu ilofanyika kanisa la mtakatifu peter, dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Naona msimu wa mavuno umeanza TSN. Alifungua Father Kidevu, na wengine wanaendelea.

    Congrats

    ReplyDelete
  2. Pongezi nyingi kwa kina Dabo, hao hapo juu suti lako kaka ni swafi na Mrs naye kavaa vizuri sana.Hata hair style ni swafi sana.

    ReplyDelete
  3. Mmependeza sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    Hongereni wadau na karibuni kwenye chama yetu ya 'WALALA UCHI'.

    Mkimwomba na kumtegemea Mungu ktk maisha yenu ya ndoa siku zote, mtakuwa na furaha hiyo hiyo kama ya siku ya Harusi.

    Kidumu chama cha walala uch...

    Mdau.

    ReplyDelete
  4. hongera JIANG,kweli tumekuwa
    !nakumbuka enzi zile tunalima matuta ya mchicha na kubeba moram Nganza secondary school...
    nakutakia maisha mema na baraka tele.

    ReplyDelete
  5. Hongereni maharusi

    ReplyDelete
  6. Mshikaji umechukua kitu, ni kifaa sijui umbo likoje lakini reception kiboko.

    ReplyDelete
  7. huyo Mwanamke hapo juu vipi tena brother? mbona amekaa kama shangazi yako!

    ReplyDelete
  8. WOW! CONGRATULATIONS PATRIC & MUNDE!! JAMANI MMEPENDEZA!! MUNDE HONGERA SANA SISI WAFANYAKAZI WENZIO WA KEMPINSKI TWAKUPONGEZA SANA KWA HATUA ULIYOFIKIA, MUNGU AWASAIDIE NA ALINDE PENZI LENU DAIMA NA MILELE!!

    ReplyDelete
  9. Mwaaaaaaaaaaaaaaah! Munde Mganda (bi harusi wa chini) pamoja na Mumeo Patric, mmependeza sana na nguo zenu bomba mno. Kila la kheri kwenye maisha mapya munde.

    ReplyDelete
  10. Hongera sana ZIRO na TINA, U look V nice pamoja. Kila la heri ktk maisha mapya.

    Baba na mama Vinie, USA

    ReplyDelete
  11. Patrick na Dada Munde hongereni sana kwa hatua na uamuzi mlioufikia,Mungu awabarikieni furaha na amani maishani mwenu.Ndimi kaka yako Bern.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...