kazi ni kazi tu....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Huyo mbeba box lazima ni mwizi.Huwezi beba box nchi hii ukawa msafi na mtanashati kama huyo aliyejitwika hilo box.
    Huyo lazima atakuwa kamwibia huyo mwenye mabox.Kujitwika mabox ni geresha tu.

    Nitamwita Tibaigana na TAKURU wamuulize hizo nguo na viatu vizuri katoa wapi? Wakati kipato kinachotokana na hiyo kazi haliwezi kidhi.

    ReplyDelete
  2. Dont be a fool,doesnt mean mtu ukifanya kazi uwe mchafu..heshime kazi inayokuweka ..so mtu akivaa viatu vizuri au vibaya havi kuhusu wewe..wacha afanye kazi ajipatie chake..sasa kama wewe umezoea kwenda mzigo mchafu basi ujue u will get fired..coz usafi ni lazima sehemu za kazi..grow up
    Mdau B/ham

    ReplyDelete
  3. pole mdau, huku kuna tu mashine twa kusaidia saidia.

    ReplyDelete
  4. He teh teeee mabox hayabebwi hivyo huku...heh heheh si tungekua matajiri kweli...hapo najiangusha tu nasema nimeumia shingo then burungutu linakuja tu....duh...kweli hamjui nyie.....box huku wala huligusi ni machine tu ....uliweke kichwani????

    ReplyDelete
  5. angalau yeye anakazi, watanzanzia wangapi wanatafuta hata kazi ya kuosha mbwa hawapati ????

    ReplyDelete
  6. Tofauti ya kubeba box TZ na kupiga Box USA mtaielezea kila kukicha, watanzania tupo slow sana kuelewa.


    Last month nimekutana na jamaa toka Ireland, alikuwa amevaa jezi ya liverpool , tukaanzia mazungumzo hapo. Anapiga box kama wengine.
    Hawa wachovu walio Bongo wasiwababaishe. Wazungu w ulaya wanakuja kufanya kazi USA, sembuse ulie Bongo ????????

    kazi kuombaomba hela tu .

    ReplyDelete
  7. Natoka nje ya mada,sorry.
    Bro Michuzi naomba website ya jumuiya ya waBongo waliko Ireland na Italy,ie:kama kuna jumuiya hiyo.
    Thank you in advance.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...