Home
Unlabelled
kwame
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ha!!!!
ReplyDeletena hapo mtasema nini? mwanamke akiolwa na mzungu ...Makaratasi...na mwanaume akioa mzungu ...mtasemaje??????
ReplyDeleteyou guys rocks ! nice pic
ReplyDeleteAnon wa 12:30:00 - MAKARATASI HAYANA JINSIA
ReplyDeletewanafanana hawa
ReplyDeletemwanaume akioa mzungu tutasema anataka kufuta mapaper
ReplyDeletemwanaume akioa mzungu tutasema anataka kuvuta mapaper.kwani wewe ujui ,mbona unauliza jibu.
ReplyDeletehahahaha mwaname akioa mzungu tutasema mvivu kunokao nanihii a.k.a one min a.k.a yuko busy.
ReplyDeleteKila la kheri nakichanga chenu.
Michuzi ignore nilichokisema awali! Naona tabasamu zao zinafanana sana(kama wamechoka vile, au ndio mambo yakukesha leba), kweli naamimi watu huoa watu wanaofanana nao hehehehehe!
ReplyDeleteDinah get a life! Nimesoma maoni yako mengi ni crap, crap, crap in each and every blog kama huna cha kuandika jijamazie tu kama sisi wengine. You SUCK!
ReplyDeleteDu! Kwame ina maana umeachana na busara promotion? libeneke la utamaduni??? sema upo wp mkubwa, au ndiyo bi mkubwa kakupa shavu ukaamua kuwapiga chini kina dj yusuf? du unakumbuka mafull moon party ya kendwa rocks?? ebwana wachizi wako wa kilimani wanakumisssss...tunakutakia kila la kheri ktk maisha mapya
ReplyDeleteMAKARATASIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII, all the best kaka, kheri yako umeoa mzungu,,sisi wenzako hapa tuna makasheshe, mara kumsomesha shemeji, mara mama mkwe anaumwa mgongo tupeleke misaada, mara kuna harusi tukachange, mara watu wamekorofishana kuna kikao cha kuwapatanisha, yaani ilimradi tu,,,mwenzetu aaah ni wewe, mkeo na kichanga chenu BASI,,mmh kwanza wenzio sasahivi tunahangaikia haki zetu, kuna watu wametukosea heshima huko BUZWAGIIII, nahisi hata hiyo hujui ni nini,,anyway, wacha tu, haya mambo ya tuachie sisi, wewe kila la kheri, maliza haraka kazi zako rudi huko ulaya, wasije wakakurogeni tu hapa kwa WIVU.
ReplyDeletejamani twende mbele turudi nyuma, pembeni ya tofauti za kiutamaduni na magumu mengine ya hizi ndoa za watu wenye asili tofauti,,,mimi nazizimia saaana maana hawa kweli wananijua wao na familia yao tu,no mama mkwe kuomba msaada, no michango isiyo na mpango, no shemeji anahitaji nauli aje Dar es salaam na mambo mengine kama hayo, ndo maana unakuta wanaendelea mbele, wanaweza kwenda hata holidays huko nchi za mbali,,sisi hapa hata kwenda Kenya tu holiday inakuwa noma,maana ukiowa umeowa UKOO MZIMA.
ReplyDeleteNyie maanoy wawili mbona manakua kama wanawake vile. Nyie mnaogopa mama mkwe, sijui shemeji anataka hiki wakati nyie kwenu kila siku nao wanaomba hela. Utazania ni nyie wenyewe manafanya kazi. Siku hizi ni mbele na nyuma kama na mimi naingiza hela basi tusizungumzie tu mama mkwe hata mama yako, kaka zako na dada yako yule ambaye haolewi bado wanaomba hela na unawapa ...so why not mine....
ReplyDeleteHata wanawake wakiolewa na wabongo ni shida utazania wameolewa na ukoo mzima...kwanza wanahamia wote hapo...kwa hiyo hii kasumba ipo kote kote na inatakiwa kurekebishwa.
Jamani tangu lini mmatumbi huyu na pua yote hii kufanana na mzungu, acheni uongo kila mtu ni mzuri kuwa mzungu sio uzuri.
ReplyDeleteKasumba za Watz basi wakishajiona wana elimu haswa wanaume shurti waoe wazungu kisa hawataki tena kusaidia extended families. Haya hongera na hizo hela zenu basi utafikiri zitakufikisha wapi?
Hii ni kasumba mbaya sana ambayo kwa nchi kama marekani mwanaume mweusi akioa mzungu tu, basi hata wazungu wanampa preferential treatment, kwa hiyo ndio maana unaoan wanaume wengi weusi wanaoa wazungu ili wafaidike na marupurupu kazini na kadhalika.
Mh niliwahi kukutana na msomi mmoja wa kibongo anasoma PHD huko America akasema "Mwanaume yoyote mweusi aliyesoma ni lazima aoe mzungu kwani ndio wataelewana" kwa kweli nilishtuka sana na kauli ya huyu kijana. Lakini baada ya kukaa na kumfahamu vizuri nikagundua kuwa huwa hafanyi kazi yoyote ya pembeni na shule, ni broke ass nigger, umbea tu kama mwanamke ignorant. Ni mfano mmoja tu kwa kweli.
Kurudi kwa huyu bwana tunamtakia kila la kheri
Swali kwa Michu, KWANI HAWA NDIO WENYEWE WALIOZAA UNAOWAFAHAMU? AU KWA VILE MTOTO NI WHITE LOOK ALIKE? KWANI WATOTO WA KIMATUMBI SIO WAZURI TENA? just personal thoughts.
I got the feeling hautaiweka hii kwani ina ukweli mno
Nashukuru sana kwa kufuatilia maoni yangu kwenye kila Bulogu, inaelekea unapenda kusoma my crap ei!
ReplyDeleteAcha kufuatilia watu ambao hawakusaidii ila kumbuka kuwa huru kusema unachojisikia kwa wakati huo....kama mimi niko huru kusema nitakavyo ailimradi sivunji sheria wala kumtusi mtu.
Chukulia kawaida tu!
jameni! What about love? Hivi bila papers mambo hayaendi? Najua akili kichwani popote ulipo (kumbuka kuoa mchaga) lakini nafikiri LOVE pia ipo.
ReplyDeleteBlackmpingo
Hamna cha elimu wala nini. Ni rahisi sana kwa mwanamke wa kizungu kukubali kuolewa na mwanaume wa kiafrica kuliko mwanamke wa kiafrica kuolewa na mzungu (Ondoa bongo ambago bado wazungu ni very demandable commodity) lakini tukizungumzia ukweli wa mambo, ndio maana hata wanawake wanaoolewa na wazungu wanatafuta mtu wa pembeni. Serious wazungu watakushika mkono, watakubusu mbele ya watu nk. lakini mh...hey...kuna watoto wanasoma huku sitaki kusema yote.
ReplyDeleteNadhani mtamaliza wenyewe...mwanaume wa shoka mtu mweusi..wazungu cold blood ndio maana hata wakika kwenye jua masaa kumi hawasikii joto. Sasa kam unapasha gari moto just imagine ni masaa mangapi gari kama hilo litawaka?
Jamani mimi nadhani kuna watu hapa ilimradi tuu ni waosha vinywa..maoni comment nyingine ni rubbish tupu... ka mfano wee anon wa 12.24 sept 24, hivi we unafikiria maisha ni ku****na tuu, inaonyesha jinsi gani una mawazo finyu!! Watu wanaangali vitu vingi and this range from future, love,kushikwa mikono ni ishara ya mapenzi, kubusiwa, kujaliwa, opportunities nk. Sasa wewe kama unafikiri mwanaume wa kiswahili ni wa shoka..kwa kuwa anaweza lala na wanawake mia kwa mwezi,,hakuonyeshi mapenzi mpaka muwe kitandani, wawili tuu - (kwa kuwa hawezi fanya hivyo mbele ya watu manake anao wengi) utabakia hukohuko na cha zaidi ni ukimwi tuu! Hiyo step tumeshaipita and life is sooooo sweet kama huamini muulize Kwame. Kuaminiana kupendana na kuheshimiana..... WIVU TUU LIONE KWANZA
ReplyDeleteDinah ni ukweli kabisa upenda kuandika mambo ambayo huwa kidogo mtu anajiuliza huyu ana upeo wa kutafakari mambo kweli na kwakuwa unaandika jina lako basi ni rahasi kwa mtu kuona personality yako na kukuattack.Dont think you know alot than somebody else, unfortunately thats how your personality crosses out.Otherwise nakubali your entitled to your own opinions but how smart? Hii pair hapo juu imependeza na hongereni kwa kupata zawadi nzuri. God bless you.Love more and hate less.
ReplyDeletemtanzania ukiwa nje ya nchi ni kipusa,waliondani wakipigiwa simu toka nje ni vipusa,ukiwa mpenzi toka nje ya Tanzania umeukata, na akiwa mzungu ndo ushafika peponi!
ReplyDeletesijui watoa moni mngekuwa mnaweka umri na taaruma zenu sijui ingetusaidia kidogo?
Hivi hakuna waliooana wabongo kwa wabongo wanokula good time? hivi wewe uliepelekwa USA,UK au INDIA na baba yako alie bongo, wewe ni zaidi ya huyo aliekupeleka?
Nahisi internet haina msaada kwa watanzania walio wengi. wengi hawana access nayo, wenye access nayo hawajui cha kufanya nayo
kwanini msijifunze toka kwa SHIGONGO?anatembelea mitandao ya nyuchi anachukua picha kisha anadai hayo ni mambo yaliotoke Tanzania kisha nyie msiojua matumizi mazuri ya mtandao mnaenda mtajirisha kwa kununua hizo habari
anony 12:25 yaani ni wivyu mtu akiolewa na mzungu. What kind of idea or brain you have. Kwani good future mpaka upewe na mzungu mweusi hawezi kukupa?
ReplyDeleteUtasema sana lakini ukweli unabaki pale pale love ni the whole package sio hiki na kimisi hiki.
kama wanaoolewa wote na wzungu wako so happy why most of them hawako waaminifu katika ndoa zao?
Ni nini wanachokikosa kama furture wanayo, love wanayo, kisses ndio usiseme na opportunities ni nyingi? Nipe jibu my dear stupid
Wewe the so called "If I had a Brain" the name suits you for sure!! Hapa issue ni kuoa/kuolewa na mzungu and thats why nikasema kuwa love ni the whole package! Sasa kama wewe umeona hilo pia kwa nini ikiwa ni mzungu basi inakua big issue kwa waosha vinywa kama wewe??? Oooh wazungu baridi oooh wazungu si wa shoka and blaa blaa kibaoooo! Wa shoka ni waswahili tuu
ReplyDeleteThe truth is tuchukulie relations zote (black/black or black/mzungu or any foreigner) ni sawa na ili zikamilike kuwe na the whole package - ambacho mimi na wewe tunajua waswahili hatuna kwa sababu ya zinaa nyingiiii!! Na kama ipo basi kuna jambo
Cheating ni tabia ya mtu.. hivyo ukiona mtu anacheat si kwamba amekosa kitu ni malaya tuu na mlafi wa zinaa....!! I hope i answered you my dear "without a brain""