
waziri wa usalama wa raia mh. harith bakari mwapachu alipomtembelea leo mbunge wa mchinga mh. mudhihir mudhihir ambaye amelazwa katika hospitali ya taifa ya muhimbili taasisi ya mifupa baada ya kupata ajali ya gari huko mkoani lindi na kukatwa mkono wake wa kulia.
pamoja naye ni mbunge wa singida mjini mh. mohamed dewji na nyuma ya waziri ni mkurugenzi wa utawala na fedha ambaye pia ni kaimu mkuu wa jeshi la polisi nchini kamishna clodwig mtweve
hivi hakuna traffic charge yeyote kwa dreva wa gari la mheshimiwa, manake polisi wanatakiwa wamweke chini ya ulinzi.AU sheria inabagua kwa madreva.
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteNanukuu kutoka kwenye gazeti la serikali DAILY NEWS, "Last month, Mudhihir moved a private motion in parliament to suspend Kigoma North MP, Zito Kabwe (Chadema), saying the MP had lied in the House on July 17, this year in his accusations against the Minister for Energy and Minerals, Mr Nizar Karamagi in relation to the controversial signing of a mining contract in London."
J e ni kweli kuwa Kabwe aliongopa?...wadau jibu mnalo!
huyu Dewji jamani na uheshimiwa wote si angevaa hata polo shirt basi du! that's too casual!
ReplyDeleteAnony hapo juu, kabla ya kukurupuka kuandika kwanza fanya utafiti wa habari yenyewe! Unataka dereva wa gari la mheshimiwa awekwe chini ya ulinzi! Kwa taarifa yako huyo mheshimiwa alikuwa anaendesha mwenyewe - kwa hiyo pamoja na matataizo yaliyompata unataka awekwe chini ya ulinzi?
ReplyDeletejamani comment gani hizi tena za traffic?acheni masihara na matatizo ya watu wengine.mnakera wadau.
ReplyDeletePole Mheshimiwa, Mungu akuponye haraka, ukaungane na familia na wananchi wako wa Mchinga. Bado tunakuhitaji. Familia poleni kwa kuuguza.
ReplyDeleteKabla hujafa hujaumbika
ReplyDeleteHuyu ndie mkalamba alikuwa anatetea mali ya wananchi (buzwagi) kuzulumiwa na maharamia.Lakini always malipo ni hapahapa duniani na bado wengine nao moto uko nyuma yenu mungu anawaona mnavyodhulumu walala hoi.Mungu tubariki tusio na sauti ili siku moja tusikike.
ReplyDeleteDuh, kapona? Kudadeki!Ngoja tukarekebishe mitambo vizuri.
ReplyDeleteBy Mwanga flani hivi.
Hehehehehe
ReplyDeleteMkono ule ule alonyoosha Bungeni kutumaliza wadanganyika kwisha habari yake, salaale!
Sasa si watafute waziri mwengine kuchukua nafasi yake,manake mkono wa kazi ndo huo ushazikwa, atafanyaje kazi. Ningeshauri astaafishwe kwa ugonjwa/ulemavu.
Malipo ni hapa hapa Duniani Mzee. Na wenzako wajifunze toka kwako. Ila na wewe mganga wako mkali, manake hiyo ulitakiwa usirudi!
Anyway, sio mbaya kwa kuanzia!
Wadau tunasahau usemi wa "Adui mpende"? Ingawa wengine husema "adui muombee njaa".
ReplyDeleteMimi namuombea kwa Mola Mheshimiwa apate nafuu ya haraka. Si jukumu letu kumhukumu manake anayehukumu naye atahukumiwa.
Wadau tunasahau usemi wa "Adui mpende"? Ingawa wengine husema "adui muombee njaa".
ReplyDeleteMimi namuombea kwa Mola Mheshimiwa apate nafuu ya haraka. Si jukumu letu kumhukumu manake anayehukumu naye atahukumiwa.
Jamani wadau dawa ya zambi ni mauti, huyu Mudhihiri anajifanya anatetea waovu akina Karamage, Kwa hiyo mungu amemlipa, mimi naomba asipone haraka au afe kabisa.
ReplyDeleteKAKA MICHU MIMI SIJAELEWA NI KWA NINI HUYU MBUNGE AMEKATWA MKONO NA SERIKALI IMEAMURU HUO MKONO UZIKWE KWA HESHIMA ZOTE WAKATI NI KITENDO CHA KUUTUPA TU JALALANI AMA KUACHIA MBWA WALE. SINA UBAYA NA HUYU BWANA LAKINI KITENDO CHA KUZIKA KIPANDE CHA MKONO WA MTU AMBAYE YUKO HAI KWA HESHIMA ZOTE KIMENICHAFUA ROHO.
ReplyDeleteJamani!!!
ReplyDeleteSasa Zitto si angemsamehe tu jamani?
Kwa nini amemfanya hivyo mwenzie lakini jamani?
Dhambi lakini nyie jamani!!
Shauri zenu.
wewe ZITTO hatukuombei lakini kama unamchekelea mwenzio tutayaona sio vizuri yote ni mapenzi ya muweza
ReplyDeleteKuna habari aliendesha gari kwa speed kali hivyo yeye kama madreva wengine anatakiwa ashitakiwe kwa sheria ya traffic.
ReplyDeleteI wish you a fast recovery Mheshimiwa.
ReplyDeleteKisha nasema hakuna aliye malaika hapa duniani. Kila mtu lazima ana MABAYA yake na kadhalika MAZURI yake.
Nikakumbuka katika BIBILIA kuna hadithi moja ambapo Bwana JIZAS aliletewa Mwana Mama aliyefumaniwa katika uzinzi na kwamba kwa kuwa adhabu ya kosa hilo ni kupigwa mawe hadi kufa, basi walimuuliza JIZAS kama wampige mawe huyo mama hadi afe.
JIZAS alichofanya ni kuchorachora chini, kuinuka na kisha kuwaambia kuwa:- "YOYOTE MIONGONI MWENU AMBAYE HAJAWAHI KUTENDA DHAMBI HATA MARA MOJA, AWE WA KWANZA KUMPIGA JIWE HUYO MAMA"
Nami nawaambia hivyohivyo wale wana bulogi hii wote wanaomkejeli na/au kumhukumu Mheshimiwa Mudhihir.
Nawasilisha.
Zitto, naomba nikusahiishe, ndugu zake Mudhilihi ndio wameamua kuuzika Mkono wa mpenndwa wao kwa heshima na sio Serikali.Serikali haiusiki na hilo tukio.
ReplyDeleteleo kweli ndo nimeamini wabongo tuna roho mbaya tena mbaya sana.how dare you kufurahia mateso ya mtu mwingine?binafsi haiingii akilini mwangu kabisa kabisa.ama kweli wahenga walisema heri mwizi kuliko mwanga,nimeelewa sasa.
ReplyDeleteMchinga mwenzangu hii ni kazi ya mungu hakuna zitto wala kigoma.hata sisi wamachinga tunamajambos kibao tukitaka twaweza fanyiza vilevile..ila tumemuweka mungu mbele.Ukipona kaza uzi usitetereke hata kidogo kiongozi mlemavu ana nafasi yake kubwa..hivi mnajua waziri wa mambo ya ndani wa ukerewe alikuwa kipofu?alikubalika kidogo tuu awaninie uwaziri mkuu itakuwa mukatwa mkono..njoo ukerewe utapata spare kibao wamachinga tupo tutafanya hambeee ya nguvu.
ReplyDeletepole mchinga
achimwene mgunga
Huo mkono alimpiga nao Asha Baraka. Huyu jamaa alikuwa mbabe sana, na asiyejali maadili ya uongozi. Alikuwa waziri wakati ule. Mpiganaji hana mkono sasa
ReplyDeleteWadau mnaoamini Mungu atawalipia mateso yenu. Endeleeni kusubiri. Sisi tulio wacommunist, hatuamini hayo. Akikutendea na wewe unamtendea tu. Maana tulisubiri sana lakini hakuna msaada toka kwa Huyo anaedaiwa yuko JUU. Atumiae Upanga atakufa kwa Upanga. sasa iweje anakujia na upanga wewe unamwendea na ubua? ACHENI UNAFIKI
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteNasikia Jana Dk. Slaa amewaka bayana majina ya vigogo wala rushwa na nasikia alimtaja hata rais mstaafu.
cha kusikitisha ni kwamba hakuna gazeti hata moja lilitaja bayana hayo majina ya hao vigogo!
Kuna Mdau anajua majina ya vigogo waliotajwa na Dk Slaa jana kule Mwembe-Yanga Tandika?
Najua Michuzi hatayaweka hewani kama topic, lakini nadhani ni ruksa kwa wadu ku-post 'maoni' yao. au sio misoup? usiyabanie kama magezeti ya leo hapa bongo....
Hivi lakini munaelewa kwamba Mudhihir nae ni "Mtoto wa Mjini?"
ReplyDeleteHaki ya Mungu nawaapia akitoka hapo nae anakwenda "kuwafanyizia" wote waliohusika, na moja baada ya mwingine nao wataondoka.
Namwaminia babake!
Si mnajua kwamba ile sehemu maarufu siku hizi inayoitwa NGENDE iko Liwale mkoani LINDI?
Nyie subirini tu. Mtanambia!
Kaka Michuzi, habari ya jumapili? sisi wabeba maboksi wazima tu,,sasa nilikuwa natoa maoni yangu: nafikiri si vizuri kwa mtu kutumia jina la ZITTO hapa kwenye kijiji chetu, sidhani kama ni Zitto Kabwe mwenyewe huyo, ni mtu tu anataka kuzidisha mjadala hapa, mimi binafsi naona kama mtu atatuma ujumbe akitumia jina la ZITTO au jina la kiongozi yeyote, ni bora kujaribu kupata uhakika kuwa ndio yeye KWELI, kabla haujayaweka maoni hayo hapa, la sivyo jamani, tutakuja kuishia pabaya,,wanakijiji angalieni, haya mambo ya kujiita jina ZITTO, mtakuja kumuacha Michu wetu mahala pabaya,kumbukeni yeye ndo mmiliki wa hii blogu na anafahamika sana, na wanaosoma humu ni wengi. Ni hayo tu...
ReplyDeleteWee mpumbavu hapo juu hivi unafikiri Zitto yupo mmoja hapo Tanzania?Kuna ma Zitto na ma Kizitto kibao tuu,huyu jamaa angejiita Zitto Kabwe hapo ingekuwa ishu lakini si vile.Acha umbumbu ok.grow up.....
ReplyDeleteHii ni blog inayosomwa na watu wa kada mbalimbali wenye uelewa anuwai. waacheni wadau watoe maoni yao kila mmoja kwa kadri ya uelewa wake. lakini juu ya yote ni kwamba amtendeaye mwenzake ubaya(hasa inapotokea kwamba huyo aliyetendewa ubaya ni mtetezi wa maslahi ya wanyonge)malipo ni hapahapa duniyani.
ReplyDeleteAliyemlipa hili ni mungu kwa kuwa hakuna njia rahisi ya kumfundisha mtu kuliko hii ya kumsababishia maumivu ya kimwili na kisaikolojia kama ilivyotokea hapa ili liwe fundisho kwa wengine. wala hakuan binadamu yeyote aliyehusika ktk hili tukio.na ndio maana hakumuua ila amwemwacha ateseke na maumivu ili apate somo. kama angekufa angejifunzaje?
Kwani wadau hamjui kwamba hata mungu ana hasira na alishawahi kuwatia adabu wanadadamu kibao tu waliokwenda kinyume na maagizo yake? kwani mmesahau alivyoiharibu sodoma na gomora au alivyoileta gharika.kumbuka kwamba mungu ni mwingi wa huruma na vilevile ni mwingi wa hasira kama ikitokea ukamuudhi au ukawaudhi viumbe wake.hilo lipo wazi huhitaji digrii ya havard au oxford kugundua hilo.
wadau wengine mnasemaje?
Anonymous hapo juu,
ReplyDeleteUmejiuliza swali kuwa Zitto hapa duniani wako wangapi?
Hatamimi ninaitwa Zitto
Kibamba
KWA UBINAFSI WAKE,ALISABABISHA DOGO ZITTO AKAFUNGIWA BUNGENI NA WABUNGE WENZIE WA CCM,LAKINI KWA KUWA MUNGU AMEIONA DHULUMA HII NA AKAAMUA KUINGILIA KATI-NA YEYE SASA AMEFUNGIWA KUHUDHURIA VIKAO VYA BUNGE TENA SIO NA WABUNGE-NA MUNGU MWENYEWE!!!
ReplyDeletekitendo cha viongozi cha viongozi wa kitaifa kujaa ktk wodi hii ya mtu ambaye ni mbunge tu kati ya wabunge 400 kinathibitisha wazi kuwa viongozi wetu huwa hawana kazi za kufanya maofisini mwao.
ReplyDeleteKaka umekuwa kigutu.Kaka omba toba kwa wafanyakazi wa Tanesco uliowabebea mitutu ya bunduki ili kuwaingiza makaburu waendeshe Tanesco.Hivi kipi kikubwa kujenga miundo mbinu na ofisi au kuendesha hiyo Tanesco?.Kaka acha tabia ya kutumiwa na wenzio kuwaadhibu wengine maana ilikuwa hata umuadhibu spika ktk ile hoja ya malima na mengi maana spika angemuadhibu Malima ilikuwa umeandaliwa kunyoosha kidole ili useme huna imani na spika ambapo mngepiga kura ya imani mumuondoe ili mumsimamishe kinana..Spika naye mungu akamstua akaifunga ile hoja.Kaka acha tena ile tabia ya kuwaadhibu watu wanaonekana wanatetea maslahi ya Taifa kwa kutumia mambo ya kijadi wewe,nchimbi,babu wenu wa ikulu na wengineo mnajijua muache ili msalie .mkiendelea ole wenu.Kabanga mneve
ReplyDelete