Home
Unlabelled
nyangumi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani, hawa watu wanafahamu huyu Nyangumi amekufa kwa tatizo gani? Inaweza ikawa hatari sana kufaya kitu kama hiki ukizingatia kuna kasi kubwa sana ya magonjwa kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu "zoonotic diseases" sasa tukipata na ya samaki, sijui itakuwa vipi. Wataalamu wa viumbe wa majini inafaa kuwahi kwenye matukio kama haya kwa lengo tu la kuhakiki kama wafanyacho watu kama hawa ni salama kwa afya.
ReplyDeleteNi mtazamo tu...msinizodoe jamani
wangekula hata nyama kwani samaki hachinjwi. Huo sio mzoga...kwani samaki wote wanakufa kifo hicho hicho jamani
ReplyDeleteNG'OMBE alileta Rift Valley.
ReplyDeleteSUBIRIA huyo samaki kama hujasikia OCEAN VALLEY mimi nimejitoa.Yaaaaee angalieni ukilionja tu hilo lijinyangumi utashangaa walegea unakuwa MDEBWEEEEEDO
Siku huzi nyama ya mzoga inaitwa mafuta. Wabongo kwa terminolgies, hawajambo!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteTobaaa!
ReplyDeleteNa Ramadhani yote hii watu wako katika mzoga. Halafu visiwani!
wapemba bwana nishai tupu!!!!!mpaka mizoga kha!!!!
ReplyDeletedr Narman mtaalam wa maswala ya sayansi ya majini, labda wamefanya test, i don't know
ReplyDeleteMWEZI WA TOBA HUU... NA WANAOSAMBAZA MAGONJWA WANAJUA IMANI ZETU.
ReplyDeleteHuu ni ulaku tu. Mbona Kikwete hayupo kwenye picha kuchukua mafuta ya samaki kama ni dawa. Nyie mnataka kutumaliza tu. Au ni watu wa ughaibuni ndiyo waliosema kuwa mafuta ya mzoga ni dawa. Kaka Michu, tusaidie, kwani twaangamia. Mafuta ninayojua mimi ni yale ambayo yamekwisha kupimwa na kuhakikishwa kuwa ni salama kwa binaadamu na sio hayo. Jamani huu ni ulaku tu wa watu.
ReplyDeleteNdugu zangu hamujui huyo Nyangumi amekufa kwanini- Ni kutokana mazozi ya kijeshi yanayofanywa na mataifa flani kwakutumia technologia iitwayo SONAR (SOund Navigation And Ranging)—or sonar — is a technique that uses sound propagation under water (primarily) to navigate, communicate or to detect other vessels. There are two kinds of sonar — active and passive
ReplyDeleteHivyo basi technologia hii huwadhuru sana Nyamangumi na samaki wengine wakubwa waishio kwenye kina kilefu cha bahari - Mataifa hayo hayawezi fanyia majaribio kwenye bahari walizopakana nazo kwania wana jua matatizo hayo - Huyo profesa anasemaje?
Poleni - sijambo la kufurahia
KUNTA-KINTE
Ujinga mtupu mafuta yako wapo hapo? yaani "FAT" ndio matibabu au kuongenza ugonjwa tena mzoga??? Halafu eti bongo New York..mmh
ReplyDelete"Sayansi ya majini" ni kitu gani?
ReplyDeleteUtotoni niliwahi kuambiwa kuwa majini ni viumbe vya kufikirika ambavyo vinaweza kutumiwa kumletea mtu madhara. Je kuna sayansi yake? inasomewa wapi?
Tafsiri ya Kibudu please!!! Maana huyo ni kibudu au kibudu kwa mnyama aliyechinjwa???
ReplyDeleteHello! Kichuguu nathani wewe unataka kuchekesha watu, sayansi ya majini it means that ni sayansi ya ndani ya maji. hebu jaribu ku post ujumbe wenye maana and usipotezee watu muda wao.
ReplyDeletesayansi ya majini nahisi imetafsiriwa toka kwa maneno ya kiingereza AQUATIC SCIENCES AMBAPO HUMO IKO MARINE SCIENCES,sio majini unayoyafikiria wewe kichuguu.Haya na wewe kichuguu inakuwaje unaweza kuandika? ni miujiza kwa vile twajua kichuguu ni nyumba ya mchwa iliyojengwa kwa udongo!
ReplyDeleteJamani mbona IPP inasema nyangumi huyu alikuwa DAR.
ReplyDeleteRe: http://www.ipp.co.tz/ipp/itv/2006/01/15/57852.html
LABDA MICHU UNGEWEKA WAZI KUWA HILI TUKIO LILITOKEA LINI.MANA NAONA KAMA VILE HII NI PICHA KUTOKA MAKTABA,NI TUKIO LAAA HIVI KARIBUNI KWELI?
ReplyDeleteI DOUBT.