Home
Unlabelled
pongezi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hahahaha,wabongo bwana.
ReplyDeleteasante mdau wa Holland,,,,mmh naona una raba mpya, au za zamani umeziosha tu huko chini ndo ukatuonyeshea hapo? mi nahisi una birthday na wewe,,,Happy birthday to you too.
ReplyDeleteusilolijua litakusumbua saana !
ReplyDeleteRABA KUWA SAFI INAWEZEKANA NI MATOKEO YA LIFE STYLE YAKE. WENGINE VUMBI WANALISIKIA KWA MBAALI !
.....I MEAN, AS A RESULT KUINGIA HOME NA VIATU HAUHOFII KUCHAFUA CARPET, LABDA UNAWEZA KUHOFU VIRUSES KUTEGEMEA NA PITAPITA ZAKO .
mzee tutaonana on may way to Bongo nita tua hapo nipate Majani, tutawasiliana.
ReplyDeleteMh makubwa haya niyaonayo!!Haya me sisemi,nampongeza mdau kwa kutoa pongezi.Hongera michuzi kwa 2years birthday.Mungu akutangulie siku zote
ReplyDeleteNDIYO MAANA NASEMA WABONGO WANAPATA SHIDA SANA KUZIELEWA HIZI PICHA ZA MAJUU... SASA HUYU ANASEMA RABA ZIMEOSHWA, SIJUI MPYA, MWAWAZO YAKE YAMEJAA VUMBI LA BONGO...HUKU VUMBI HAKUNA DADA! KAMA BONGO HATUNA MAJI YA KUNYWA SAFI WENZAKO HUKU WATUMIA LORRY LA TANI KUMI KUOSHA BARABARA.
ReplyDeletei like this dude he so cool and handsome
ReplyDeleteUmenikumbusha Mbali uliyepo Pichani.
ReplyDeleteNakumbuka nilipokuwa huko ulaya Kochi ndiyo nilikuwa natumia kama kiti na pia kochi hilohilo ndio kitanda usiku.Kutokana na kulalia na kulikalia mfululizo bila kufua vitambaa vya kochi unalikuta ni chafu hasa kwenye mito ya kukalia.
Umaskini mbaya hasa ukiwa ulaya.
Na hiyo mito uliyokalia naona ni michafu sijui na wewe unaitumia kama kochi na kitanda? Kama jibu ni ndiyo naomba urudi Tanzania upesi kabla halijajaa kunguni watakaokunyima usingizi kutokana na uchafu uliorundikana kwenye hiyo mito ya kukalia.
Raba ulizovaa safi lakini hiyo mito ya kochi mwanangu! ummm! Au huwa unalala na hizo raba bila kuvua?
Umenikumbusha Mbali uliyepo Pichani.

Sura yake na mkao wake vyote sawa,msameheni tafadhali!!!
ReplyDeletesielewi vizuri,hivi wanaita ulugaluga au upolipoli?lipi linamfaa huyu?
ReplyDeleteKAMA ULIKUWA UNATUMIA KOCHI KULALA HUO NI UMASKINI WAKO...HUKU SIJAONA KUNGUNI MIMI KAMA UNAVYOSEMA, NA UNAPOSEMA HILO KOCHI NI CHAFU UNAONEKANA HUMU KWEMYE BLOGI KWAMBA SI MKWELI! YEYOTE ANAYEONA KOCHI NI CHAFU KAMA HUYU NDUGU NA ASEME!
ReplyDeleteBinamu naona uko na tafubuti,unazikumbuka enzi zile?Binamu sina noma na wewe lakini punguza u-braza maana wewe mwenyewe masikini si tunakujua.
ReplyDeleteBOTHER SIKUFAHAMU HUNIFAHAMU, UKWELI UMETUMIA HAKI YAKO YA KUJIWASILISHA KWENYE BLOG KAMA WATU WENGINE, KAWAIDA WATU WENGINE HUISHI NA NEGATIVE ATTITUDE HATA UWAPELEKE SHULE NA WAPATE DEGREE LUKUKI HAWABADILI WATABAKI NEGATIVE HADI SIKU YA KUFA KWAO.
ReplyDeleteKWA UFUPI UMETOKA 'CHICHA' YAANI UMEPENDEZA, KILA LA HERI BRO.