Mdau toka Nederland napenda kuipongeza blog hii kwakutimiza miaka miwili.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. hahahaha,wabongo bwana.

    ReplyDelete
  2. asante mdau wa Holland,,,,mmh naona una raba mpya, au za zamani umeziosha tu huko chini ndo ukatuonyeshea hapo? mi nahisi una birthday na wewe,,,Happy birthday to you too.

    ReplyDelete
  3. usilolijua litakusumbua saana !

    RABA KUWA SAFI INAWEZEKANA NI MATOKEO YA LIFE STYLE YAKE. WENGINE VUMBI WANALISIKIA KWA MBAALI !
    .....I MEAN, AS A RESULT KUINGIA HOME NA VIATU HAUHOFII KUCHAFUA CARPET, LABDA UNAWEZA KUHOFU VIRUSES KUTEGEMEA NA PITAPITA ZAKO .

    ReplyDelete
  4. mzee tutaonana on may way to Bongo nita tua hapo nipate Majani, tutawasiliana.

    ReplyDelete
  5. Mh makubwa haya niyaonayo!!Haya me sisemi,nampongeza mdau kwa kutoa pongezi.Hongera michuzi kwa 2years birthday.Mungu akutangulie siku zote

    ReplyDelete
  6. NDIYO MAANA NASEMA WABONGO WANAPATA SHIDA SANA KUZIELEWA HIZI PICHA ZA MAJUU... SASA HUYU ANASEMA RABA ZIMEOSHWA, SIJUI MPYA, MWAWAZO YAKE YAMEJAA VUMBI LA BONGO...HUKU VUMBI HAKUNA DADA! KAMA BONGO HATUNA MAJI YA KUNYWA SAFI WENZAKO HUKU WATUMIA LORRY LA TANI KUMI KUOSHA BARABARA.

    ReplyDelete
  7. i like this dude he so cool and handsome

    ReplyDelete
  8. Umenikumbusha Mbali uliyepo Pichani.

    Nakumbuka nilipokuwa huko ulaya Kochi ndiyo nilikuwa natumia kama kiti na pia kochi hilohilo ndio kitanda usiku.Kutokana na kulalia na kulikalia mfululizo bila kufua vitambaa vya kochi unalikuta ni chafu hasa kwenye mito ya kukalia.

    Umaskini mbaya hasa ukiwa ulaya.

    Na hiyo mito uliyokalia naona ni michafu sijui na wewe unaitumia kama kochi na kitanda? Kama jibu ni ndiyo naomba urudi Tanzania upesi kabla halijajaa kunguni watakaokunyima usingizi kutokana na uchafu uliorundikana kwenye hiyo mito ya kukalia.

    Raba ulizovaa safi lakini hiyo mito ya kochi mwanangu! ummm! Au huwa unalala na hizo raba bila kuvua?

    ReplyDelete
  9. Umenikumbusha Mbali uliyepo Pichani.

    Nakumbuka nilipokuwa huko ulaya Kochi ndiyo nilikuwa natumia kama kiti na pia kochi hilohilo ndio kitanda usiku.Kutokana na kulalia na kulikalia mfululizo bila kufua vitambaa vya kochi unalikuta ni chafu hasa kwenye mito ya kukalia.

    Umaskini mbaya hasa ukiwa ulaya.

    Na hiyo mito uliyokalia naona ni michafu sijui na wewe unaitumia kama kochi na kitanda? Kama jibu ni ndiyo naomba urudi Tanzania upesi kabla halijajaa kunguni watakaokunyima usingizi kutokana na uchafu uliorundikana kwenye hiyo mito ya kukalia.

    Raba ulizovaa safi lakini hiyo mito ya kochi mwanangu! ummm! Au huwa unalala na hizo raba bila kuvua?

    ReplyDelete
  10. Sura yake na mkao wake vyote sawa,msameheni tafadhali!!!

    ReplyDelete
  11. sielewi vizuri,hivi wanaita ulugaluga au upolipoli?lipi linamfaa huyu?

    ReplyDelete
  12. KAMA ULIKUWA UNATUMIA KOCHI KULALA HUO NI UMASKINI WAKO...HUKU SIJAONA KUNGUNI MIMI KAMA UNAVYOSEMA, NA UNAPOSEMA HILO KOCHI NI CHAFU UNAONEKANA HUMU KWEMYE BLOGI KWAMBA SI MKWELI! YEYOTE ANAYEONA KOCHI NI CHAFU KAMA HUYU NDUGU NA ASEME!

    ReplyDelete
  13. Binamu naona uko na tafubuti,unazikumbuka enzi zile?Binamu sina noma na wewe lakini punguza u-braza maana wewe mwenyewe masikini si tunakujua.

    ReplyDelete
  14. BOTHER SIKUFAHAMU HUNIFAHAMU, UKWELI UMETUMIA HAKI YAKO YA KUJIWASILISHA KWENYE BLOG KAMA WATU WENGINE, KAWAIDA WATU WENGINE HUISHI NA NEGATIVE ATTITUDE HATA UWAPELEKE SHULE NA WAPATE DEGREE LUKUKI HAWABADILI WATABAKI NEGATIVE HADI SIKU YA KUFA KWAO.

    KWA UFUPI UMETOKA 'CHICHA' YAANI UMEPENDEZA, KILA LA HERI BRO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...