jk akionekana kwenye skrini la neshno jana. pamoja na picha majina ya wachezaji na magoli huonekana uwanja mzima. hii picha nilipiga nikwa upande wa pili wa wanja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. NAMSHAURI RAIS KIKWETE ASIWAPE WATANZANIA PESA BALI AWAPE VITENDEA KAZI KAMA MATREKTA, MBOLEA, VIFAA UFUNDI NA UJENZI,NA MAANISHA KILA MTANZANIA APEWE MKOPO WA VIFAA AMBAVYO VITAMSAIDIA KUFANYA KAZI NA KUMWINGIZIA KIPATO. PESA WATANZANIA HAWAZIZOEA WATAZILA TU AFU UMASKINI UTABAKI PALEPALE. TENA NASHAURI HIZO BILIONI ZAKE AZIGAWE KWA KIKANDA KWA MFANO MWAKA HUU FEDHA ZOTE INAPEWA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI, MWAKA UJAO KANDA YA KASKAZINI N.K KINYUME NA HAPO TUNADANGANYANA NA MAISHA BORA ITAKUA NI NNDOTO KWA MAONI YANGU!

    ReplyDelete
  2. Tumeshaona kuwa walikua watu wengi na hela ilikua kiasi gani. Isije watu wakajenga majumba yao kwa wanja la taifa. Tanzania tunawajua watu watatajirika sna na liwanja litaishia kuwa gofu. Hela ikiptikana watu wanajenga kwao....

    ReplyDelete
  3. NIMEMKUMBUKA AMINA CHIFUPA!!!

    ReplyDelete
  4. michuzi na hilo skrini la neshno ni la wale jamaaa wa bigtv au??

    ReplyDelete
  5. UWANJA HUO MZURI SANA. PONGEZI KWA MKAPA SI KIKWETE. HILO LIELEWEKE HIVYO. MSIANZE KUZUSHA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...