wadau wa strathmore university twaitakia Blog hii mafanikio meengi zaidi ya uliyoyapata na ushirikiano ulio mkamilifu. twakutakia kila la heri kaka michuzi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. hayo mabegi ni uniform au mbona yanafanaa au CCM walikuja uko wakawapa wakati wa kampeni za uchaguzi?

    ReplyDelete
  2. Huyo dada mmoja mwenye tshirt nyeupe ni Judith Rukinisha? namfananisha

    Hiyo ni nchi gani bado wanatumia hiyo mifuko? jamani hiyo mifuko ni hatari kwa kila hali except kubebea hivyo mlivyobebea.
    Ni mtazamo tu....msinijie juu enyi wadau wa muchuzi, especialy wakati huu tunaposherehekea miaka miwili ya kuzaliwa kwa glob yetu hii. Hongera Michuzi

    ReplyDelete
  3. Oyaa washakaji wa Strathmore mambo vip?

    Mmetoka sana sana ila kaushauri JAMANI ACHENI MATUMIZI ya MIFUKO YA RAMBO(plastick) ni hatari kwa uhai wa mazingira yetu.Teeeee teeeeee

    Msimind kimya kimya tu nawatania sio kweli

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...