hapo zamani za kale jumba laa ushiriki lililo karibu na bustani ya mnazi mmoja gaden (shoto) ndilo lililokuwa refu kuliko yote dar. siku hizi linaonekana kama la kawaida tu sio kwa urefu pekee bali pia hata haiba.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. kati kati hapo mtaa wa kipata.

    ReplyDelete
  2. Ingekuwa wengi tuna nyumba zenye hadhi,maji ya bomba safi na umeme majumbani vinakuja kwa kasi hivi mbona tungekuwa na ya kujisifia!!
    Hayo maghorofa makubwa na mareeefu ya makampuni sijui yanatufaidisha vipi sisi wazalendo tulio wengi ikiwa mambo ya kimsingi hayatoshelezwi.

    ReplyDelete
  3. na katika kati kati hapo kwenye mtaa huo wa kipata unapandisha juu na kusonga mbele ha hiyoo unaiona nyumba yetu jamani eeeeeh!!!! kwetu napatamani lakini siwezi kuja maana sina makaratasi bala nimelitafuta mwenyewe la kuja majuu na bado najiona niko machini na mchizi.
    wadau nichangiyeni tiketi niende kwetu.
    michu unanizingua kwa picha za mitaa ya kwetu nalia kimoyo moyo sina wakunipoza huku majuu..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...