Utwa mbombo Jomba!
Sina la zaidi ya pongezi maana huwa tunapata newz haraka wakati mwingine kuliko walio hapo jijini.Nami nakupa zawadi ya picha nilizopiga jijini Paris ya muonekano wa Paris toka juu baada kupanda ule mnara mkubwa duniani EIFFEL TOWER
Joune Lwaga.
Ujerumani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ulikulubafu luliku hapa pa Germany???

    ReplyDelete
  2. Kikolo! ngutughala ku Munster,ngutila ukusimba namba jangu papo linga nsimbile namba jangu angutamigwa na bhandu bhingi,simba jako angukukukomela.Ngaga fijo.

    ReplyDelete
  3. Lwaga, inya une ndipa Bayern, we tumia email hii nimefungua sasahivi kwaajili yako stpmicky@hotmail.com usimbe ikyutu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...