bongo tumejaaliwa waandishi wengi kutokana na utitiri wa vyomba vya habari. ukiacha mstari wa mbele ambako wameketi maofisa wa vodcom, tff na wizara ya michezo nyuma yao karibu wote ni waandishi wakikava utiaji saini mkataba mpya wa udhamini wa vodacom wa ligi kuu. na hao ni waandishi wa michezo na burudani tu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. makanjanja wangapi hapo?

    ReplyDelete
  2. Wa michezo na burudani peke yake du aisee? Kwani kuna waandishi wa aina ngapi? Wangekuwepo wa aina tofauti Tanzania si mabunyebunye na maudakuzzzzz yangepungua? Mi nafikiri nchi nzima imejaa tu hao hao waandishi wa mabunyebunye!

    ReplyDelete
  3. Neno UTITIRI limetumika kama kielezi cha kisifa kinachoashiria mrundikano wa Asasi zisizo na sifa. Tuthibitishie hilo kwa kutaja hizo asasi husika vinginevyo hata hii blogu yako nayo ni sabuseti ya unacho ripoti.
    Aidha mimi napendekeza kuwa 'utitiri' uendelee kutuhabarisha si tu 'mbwa kauma mtu' bali zaidi pia 'mtu kauma mbwa'.
    Nikichangia toka Man-ache(Maneke) mimi ni Nyakatakule Unyilisya Echalo.

    ReplyDelete
  4. Michu, nakuunga mkono hapo bila kupinga huo ni utitiri, pamoja na kuwa na freelance style of reporting lakini freelance ya bongo ni kiboko! hapo ili stori itoke kwenye gazeti unategemea kudra za editor! wandugu tujaribuni kubuni namna nyingine ya uandishi, ama kupiga buku zaidi na kuacha ubabaishaji.
    Unaandika stori unaenda newsroom na kuambiwa mwenzio kishaleta saa nyingi na kama hujui kutafuta angle nyingine basi umekwenda na maji siku yako nzima imetumbukia shimoni....Waandishi bongo tujitahidi kubuni mpango mwingine!

    ReplyDelete
  5. Uandishi wa habari Bongo umezorota siku hizi. Si uwongo kazi kutafuta bahasha tu.

    ReplyDelete
  6. Reporters - Editors = Utitiri

    Reporters - variety = Utitiri
    Reporters/Freedom of speech = Utitiri

    ReplyDelete
  7. Khaa! Hao ni wanafunzi wa uhandishi wa habari au?
    Wanaonekana kama wapo darasani wakimsikiliza lekchara!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...