Home
Unlabelled
wafaransa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii kiboko, wazungu watatu timu nzima, rais wa ufaransa Nicolas Sarkozy inabidi aangalie hii picha halafu aongee kuhusu kuthibiti "immigrants". Timu nzima imejaa weusi wenye asili yao Africa.
ReplyDeleteHaa haa Bwana Michuzi, Ufaransa inafurahisha sana. Maana timu nzima weusi wazungu watatu tu. Kuna mwanasiasa moja wa upinzani nchini Ufaransa naitwa Jean Marie Leapen aliwahi kukaririwa akisema kwamba hapo hakuna timu ya taifa. Maana wote hao weusi ni wahamiaji.
ReplyDeleteMzee wa TBS
utajijumisupu, sijui unataka kutuambia nini!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteso what????Kama weusi wamejazana kwenye timu ya ufaransa kuna tatizo gani,kwani uraia wao ni wa wapi?Acheni ujinga wenu wa kibongo.Hao wote ni wafaransa,kina henry,malouda,vieira,zinade nk wamezaliwa au kukulia ufaransa na wana uraia.Quit kissing white people behind.
ReplyDeletesiku zote wabongo ni ma racist,hakuna kingine mlichoona bali weusi tu.hamuwezi kuchangia pointi ya maana bila ubaguzi.ndo hayo hata miss Tz wmamuita si mtanzania.wabongo wake up .badilika maana mambo yanabadilika.
ReplyDelete