NAFARIJIKA KUPOKEA MAWAZO KEDEKEDE YA NAMNA YA KUMPATA MDAU WA MILONI 2 KWENYE GLOBU YETU HII, JAMBO AMBALO LINATEGEMEWA KUTIMIA WIKI HII.
KAMA INAVYOFAHAMIKA TATIZO NI WADAU WENGI KUWA MAANONI, HIVYO INAKUWA SI RAHISI KUMJUA NANI NI NANI. NAKARIBISHA MAONI ZAIDI KWA SIKU MBILI ZIJAZO KABLA SIJATOA UFAFANUZI WA KUMPATA MSHINDI HALALI ATAKAYEPOKEA ZAWADI YA $500....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Poa, umesomeka.

    ReplyDelete
  2. tupe basi uwoufafanuzi kaka michuzi

    ReplyDelete
  3. Bana Michuzi kama kutuimia IP address ni rahisi tumia tu njia hiyo .
    Hawa watu wapiga makelele tu kila siku, kumbe bado hata hawa afford interner service inayoeleweka !

    Idadi ikipungua nafasi yangu ya kushinda inaongezela , ha ha ha !

    ReplyDelete
  4. Kuna kitu kinaitwa IP Address.

    ReplyDelete
  5. Michuzi,
    Kila mtu ana upeo wake wa kufikiri. Nadhani pia wewe wakati unaanzisha
    hii bahati nasibu ya kumpata mtu atakaetembelea blog yako ulikuwa
    umeshawaza kuwa mshindi atapatikana vipi. Kwa mimi nadhani idea ya IP
    address inatosha kumpata mshindi, ila sasa inamaana wewe labda inabidi
    uwe muda mwingi sana kwenye mtandao, ambapo nadhani kwa kumpata
    mshindi kwa IP address, inamaana itakapo hit tu 2,000,000 moja kwa
    moja itaonyesha IP ya mtu aliyehit blog, na mshindi atapata alert kuwa
    ameshinda. Sasa kwako hapo ina maana, unaweza kutafuta wataalam wawili
    watatu wa haraka, kwamba ni vipi unaweza ku 'ping' IP ya mtu, na
    kumtumia ka message ka hapo hapo, kwamba ameshinda, then unampa labda
    password fulani, ambapo hiyo, atakuandikia email, na kukutajia
    password uliyomtumia thru IP address ya computer aliyekuwa ameingia
    kwenye blog yako. Hiyo pia itasaidia kwa wengine ambao hawana
    computers home kwao. So kithibitisho, itakuwa ni password utakayokuwa
    umemtumia (automatically) Kwa upeo wangu wa chap chap nafikiria hivyo,
    nadhani maoni ya watu wengine pia yatasaidia.

    Nakupongeza thou kwa kufikiria kutoa zawadi, esp kwa watu wa nje ya
    bongo, wanapata news na ma snap mengi ya kutoka hapo Daslam.


    SAMCHOM hapa, nipo Kansas City, US

    ReplyDelete
  6. Rahisi tuu, kamata ip address (kutoka kwenye stats zako) halafu...(kwa kutumia IP address) unaweza kujua muda na mahali alipopatikana mshindi.

    -- Au --

    unaweza kutumia "google analytic" and "conversion tracking software" yao (google wanat0a bure) kurahisisha mambo

    -- AU --

    Unaweza kutumia "php script" kuweza to track ip address


    Ukisha maliza...

    Weka tangazo kuuliza nani aliingia bloguni muda wa ushindi. Kwa wale watakao jibu (kwa kulinganisha ip address zao na ile iliyoshinda) utaweza kumjua mshindi.

    Pia ni vizuri ku "track all headers of incoming messages" kuweza kujua "ip address" za waliyotuma

    Tatizo la kutumia njia hii ni kwamba tuna (assume) kwamba unatumia mtandao mmoja (same ip)

    ReplyDelete
  7. Nilishawahi kubahatika kuwa visitor wa millioni moja enzi hizo, bofya HAPA. Nilichofanya kumhakikishia Michuzi kuwa nilikuwa mie, niliprint blog yake kama ilivyokuwa ikionekana muda huo. Nilienda File_Print_Adobe Acrobat. Adobe Acrobat ikaiconvert blog kuwa .PDF file. File hili nili li crop na kuliconvert into .jpg ili iwe picha ambayo Michuzi aliweza kuipost kwenye blog. Nilimtumia Michuzi kwa e-mail document zote hizi mbili. Kwa mdau atakayeshinda na akashindwakuconvert blog into a PDF file, basi aende File_Save as_ na achague Complete Webpage. Blog itakuwa saved na widgets zake zote ikiwa pamoja na counter ikionesha millioni 2. Kama njia hii ni ngumu, basi aprint kwa printer ya kawaida kwenye karatasi, then a scan picha na kumtumia Michuzi kama uthibitisho. Naomba kuwasilisha.

    ReplyDelete
  8. WATU WATASEMA MENGI SANA NA MICHUZI UNA IDEA NYINGI SANA ILA NAONA NJIA ALIYOTOA GERARD MISINZO NDIO SAHIHI ZAIDI.. HUWEZI KUMPATA KAIRAHISI MSHINDI KWA NJIA YA IP ADDRESS. SI RAHISI KWA SABABU WATU WENGI WAKO KWENYE PRIVATE NETWORKS NA WAKO NYUMA YA FIREWALLS,WANATUMIA PROXY SERVERS,N.K KWA HIYO KUNA WENGI KWA PAMOJA WANAWEZA KUWA WANASURF PAGE YAKO.
    WENGINE ISP WAO WANAFANYA NETWORK ADDRESS TRANSLATION (NAT). HALAFU MICHUZI COUNTER YAKO HAISEMI MTU WA 2 MILLIONI ALIINGIA SAA NGAPI. INA MAANA UTAKAA UKIVIZIA TUU MUDA WOTE HATA AKIINGIA SAA TISA USIKU? KAMA SIO WANGA NINI HUO?

    DAWA NI KWA MTU ATAYEINGIA KU-SAVE HIYO PAGE AT THAT TIME NA KUKUTUMIA MICHUZI HIVYO UTAIONA COUNTER PALE NA TIME ALIPOSAVE HIYO PAGE NA WEWE UTAFANANISHA NA UNACHOKIJUA.

    -MZOZAJI

    ReplyDelete
  9. maneno mengi sana
    ila kwa Ip addres kweli hawezi kujua. Kuna wengine kama alivyosema hapo juu ni private NT, na pia kuna wengine wanacheck hii web kwa kutumia simu zenye WIFI huko mitaani kila block mmoja Ip address inachange hot spots kibao siku hizi.

    Na kuprint kuna watu wanaweza kubadilisha kwa kutumia photoshop. Hiyo ya kwa ko ulivyofanya enzi hizo kulikua hamna zawadi lakini sasa hivi ki $ 500 kitawafanya watu wahehuke.

    Kuna mtu alipendekeza uweke another temporary counter. Huko itakuonyesha mtu wa 2m alihit wakati small counter ilikua number fulani. Na huyo mshindi anatakiwa akumbuke hiyo temp counter pia na akipiga picha au akicopy screen itakua inaonekana. Na atakayejaribu kuforge hatajua temp counter ilikua ngapi.

    Na wewe kama unaweza once inahit unaondoa hiyo small counter ili wenye akili wasije wakaanza kucompeare number halafu wa use photoshop kubadilisha

    naomba kuwakilisha

    ReplyDelete
  10. kila shindano kama hili la bahati nasibu huwa na rules na regulations. kama hau fit ktk hizo basi automatic umeenguliwa.

    sio lazima kila mtu ku qualify, tumia IP address anyhow .
    mnao tumia cafe mmeula wa chuya,...

    ReplyDelete
  11. ANONY Tarehe Wednesday, October 24, 2007 5:45:00 AM EAT, IS A LAYMAN ON THESE THINGS. ILA HATAKI KUELEWA! ISSUE YA IP ADDRESS POSSIBILITY YA KUMPATA MTU SIYE NI KUBWA!

    ReplyDelete
  12. Mimi napendekeza utumie njia ya kitaalamu kidogo
    katika server kuna kitu kinaitwa script.
    Sasa mwambie huyo anayedeal na blog yako kwa upande wa kitaalamu akutengenezee script ambayo itadetect client computer ambayo imatumiwa na mtu wa milioni mbili automatically itatuma registration page kwa mtu huyo hapo hapo alipo kwenye hiyo computer.
    Na huyo mtu atatakiwa kujaza iformation ambazo ninyi mnazani zitawasaidia kumpata au kumfikishia tuzo yake baada ya kujaza hizo information anasubmit na kazi inaishia hapo.
    Stephen Kagaruki
    B.Sc(H)Electronics final year
    University Of Delhi

    ReplyDelete
  13. Mimi napendekeza utumie njia ya kitaalamu kidogo
    katika server kuna kitu kinaitwa script.
    Sasa mwambie huyo anayedeal na blog yako kwa upande wa kitaalamu akutengenezee script ambayo itadetect client computer ambayo imatumiwa na mtu wa milioni mbili automatically itatuma registration page kwa mtu huyo hapo hapo alipo kwenye hiyo computer.
    Na huyo mtu atatakiwa kujaza iformation ambazo ninyi mnazani zitawasaidia kumpata au kumfikishia tuzo yake baada ya kujaza hizo information anasubmit na kazi inaishia hapo.
    Stephen Kagaruki
    B.Sc(H)Electronics final year
    University Of Delhi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...